Nzie ya Mana
JF-Expert Member
- Aug 23, 2020
- 1,515
- 1,730
Mwambie kweli huyo chawa!Kafulila atakuwa amefulia kweli kweli [emoji23]
Kukopa sio sifa na hasa kama mikopo hiyo inanufaisha ukoo wa panya, mchwa na mafisadi!.
Kwamba hatukuorodheshwa hivyo tukope tu eti deni letu ni stahimilivu? [emoji848]
Gesi ya mtwara imefanyaje!?..bandari ya bmoyo bado ipo hewani, mabeberu nao wanaitaka,ili wambanie mchinaUtajua tu siku tukishindwa kulipa madeni.
Rejea mikataba ya bandari ya bagamoyo na gesi ya mtwara.
Gesi ya mtwara imefanyaje!?..bandari ya bmoyo bado ipo hewani, mabeberu nao wanaitaka,ili wambanie mchina
Nchi gani imeuzwa so far Mpaka Sasa kwa MadeniFuatilia mikataba yake ndiyo utajua nchi inauzwa vipi.
Sasa nyie BAVICHA simsubiri hayo mabaya mnayoiombea Tanzania yatokeeKwahiyo anataka tukope sana ili na sisi tulemewe na madeni au?
Daaah, tunasafiri ndefu sanaHakika mkuu wangu, ile kuwa mkimbizi inakuongezea ujasiri wa kutokuwa na machungu kabisa.
Kafulila hii ni hazina KWELIKWELAliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe David Zacharia Kafulila kupitia ukurasa wake wa Instagram amewafunda wanaolalamika Kuhusu ukuaji wa deni la Taifa huku akisisitiza tukope zaidi ili tujenge uchumi wetu kwani hata Japan ambayo ni nchi ya tatu Duniani kwa Utajiri bajeti yake 40% ni mikopo tuache maneno maneno Tanzania tuko vizuri,
===
Kafulila anasema, Ripoti ya UNDP Nov2022, imetaja nchi54 zenye hali mbaya ya deni la Taifa Dunian, huku 25 zikitoka Afrika wala Tanzania sio miongoni mwao,
Kafulila anaendelea kwa kusema " Ripoti za Taasisi ya MOODY'S, ambayo ni moja ya taasisi 3 kubwa duniani kwa kupima afya ya uchumi kumudu kulipa deni ( MOODY'S, S&P na Fitch zinamiliki 95% ya biashara hii duniani), Agust 2021 na Oktoba 2022 imeonesha Tanzania bado inafanya vema usimamizi wa deni kutokana kupata mikopo ya muda mrefu na nafuu( concessional loans).
Anaendelea kusisitiza, Tukope kujenga uchumi,Ulaya ilikopa kujenga uchumi baada ya vita ya dunia kwa kusaidiwa na USA( Mashal Plan, ) Bajeti ya Japan ya mwaka 2021, nchi ya 3 kwa ukubwa wa uchumi dunaini, asilimia 40% ni mikopo.
Anasema, "Naam, tukope zaidi kujenga zaidi hasa mikopo ya muda mrefu ambayo uwekezaji miradi hii itaongeza msuli wa uchumi wetu kulipa deni.
Mwaka 2021/22 ndio mwaka deni limeongeka kwa trilioni10(BoT- MER) lakn ndio mwaka uchumi uliongezeka kwa zaidi ya dola bilioni 5.4 kufikia $67.7bn kutoka $62.3bn ambazo ni sawa na nyongeza ya uchumi kwa miaka miwili( 2019/20 na 2020/21),Ndio maana ya kukopa kujenga uchumi.
Marry X-mass & Happy New year
Sasa nyie BAVICHA simsubiri hayo mabaya mnayoiombea Tanzania yatokee
Hahaha Wewe nini kinakuumiza, Mjibu hoja zaketumbili acha uchawa, nenda kalime mawese upate kipato chako halali na kusomesha wanao!
Uchawa sio kazi bro ni kujidhalilisha tu!
Gesi ya mtwara inayotumika ni ile ya wakati wa mkapa inayokuja songas,hakuna gesi nyingine iliyouzwa,ya Lindi inahitaji $30b,michakato inaendelea,huo mkataba unaoujua wewe hebu uweke hapa walau terms zakeFuatilia mikataba yake ndiyo utajua nchi inauzwa vipi.
Usijitoe ufahamu ,bungeni washa discuss sana mkataba wa gesi na ugaigai wake.Gesi ya mtwara inayotumika ni ile ya wakati wa mkapa inayokuja songas,hakuna gesi nyingine iliyouzwa,ya Lindi inahitaji $30b,michakato inaendelea,huo mkataba unaoujua wewe hebu uweke hapa walau terms zake
Lete ushahidi sio pyepye pyeeeMikopo ya pesa unufaisha watawala zaidi kuliko watawaliwa, na mingi urudishwa kwenye mabenk ya ulaya kufichwa
Jibu hoja. Great thinkers wa JF waliishia wapi? Yaani siku hizi mada hizi Huwa zinaingiliwa na wafia dini wa naniliu. Tabu sana hiiHuyu atakuwa anaumwa ugonjwa wa akili ama anajitoa ufahamu kwa sababu anazozijua mwenyewe. Kudaiwa ni utumwa sio sifa
Sasa si uweke hapa wewe uliyesikiliza bunge na kuelewa kwamba gesi mtwara ishauzwa, tatizo liko wapi!?..au unaimba tu kiitikio Cha gesi imeuzwa kipang'ang'a!?Usijitoe ufahamu ,bungeni washa discuss sana mkataba wa gesi na ugaigai wake.
Kwani hayo mapesa yanayodaiwa kufichwa benk za Ulaya ni ya kina nani.Una biashara halali huwezi ficha pesa nje bali zinakuwa kwenye mzunguko.Lete ushahidi sio pyepye pyeee
Nani kaficha, MtajeKwani hayo mapesa yanayodaiwa kufichwa benk za Ulaya ni ya kina nani.Una biashara halali huwezi ficha pesa nje bali zinakuwa kwenye mzunguko.
Watu wengine mko wajinga sana,mnaona kukopa ni sifa,kukopa sio sifa,sifa ni kujitegemea dah!Kazi kweli kweli.Jamaa wamewalewesha na ujinga,hamuoni wala hamsikii.Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe David Zacharia Kafulila kupitia ukurasa wake wa Instagram amewafunda wanaolalamika Kuhusu ukuaji wa deni la Taifa huku akisisitiza tukope zaidi ili tujenge uchumi wetu kwani hata Japan ambayo ni nchi ya tatu Duniani kwa Utajiri bajeti yake 40% ni mikopo tuache maneno maneno Tanzania tuko vizuri,