Yakikufika utakuja kulia humuhumuLiwe fundisho kwa wala vya watu. Infidelity is like an act of murder(shakespear). Hata hakimu anaweza kutoa msamaha. Mimi nashangaa unakuta mtu anajivinjari tu na mke au mume wa mtu. Huo ndo mshahara. SI muhurumii mtu. I could do the same.
Ahsante kwa ushauri,nimeifuta post nzima kwa spidi ya tsunami.Pamoja na hayo ni tukio lililoshtua sana nchi na kutawala vyombo vya habari.Tuyaache lakini yamepita,nimekusikia mama.Samahani kama kuna aliyekwazika kwa post hiyo.Bishanga.............You dont have to nail the namez bana.
Bishanga.............You dont have to nail the namez bana.
Mbna ni jambo zuri2,kwanza iyo nh hukumu ya mwanadamu,sijui ya mungu itakuaje.mana katika sheria ambazo mungu ametuwekea czani kama kaweka kuwa ni ruhusa au halali kutembea na mke/mume wa mtu.mi nadhani ni jambo la mfano ambalo kwa wengi wetu ni onyo na funzo pia.Habari zenu wana Jf,
nimepata kisa cha kusikitisha muda si mrefu na nimeamua nikiweke hapa jamvini kinaweza kutusaidia katika kufanya maamuzi yakikukuta.
Kuna mkaka namfahamu yeye ni mume wa mtu na amefumaniwa na mke wa mtu. Inasemekana mume wa huyo mdada mwizi na mke wa mkaka mwizi walishagundua na kukaa pamoja kuelezana kwamba wenza wetu wanafanya uzinzi. Wakakubaliana kuwafumania na kweli siku ya siku fumanizi likafanikiwa walichofanya ni kumpiga yule mwanaume sana hasa hasa kichwani mpaka damu imevilia kichwani na habari nilizopata hivi punde ni kuwa huyo kaka anapumulia oxygen machine once ikitolewa roho na mwili vinaachana.
Tupeane mawazo ikitokea ukamfumania mkeo/mumeo uamuzi mzuri ni upi? au walichfanya hawa mke na mume waibiwa kumpiga huyu baba mpaka kuwa hivi ni sawa?
MM mimi nadhani hawa tayari na wao walikuwa wameishapeanaKanuni ya cheaters mojawapo inasema kuwa kama waibiwa wote wawili wanajua wanaibiwa basi wao wao wawili wanahipaswa kupeana kama kulipiza kisasi. Sasa hilo la kwenda kumpiga mtu sijui liko kifungu gani kwenye hicho kitabu.
kweli kabisaKanuni ya cheaters mojawapo inasema kuwa kama waibiwa wote wawili wanajua wanaibiwa basi wao wao wawili wanahipaswa kupeana kama kulipiza kisasi. Sasa hilo la kwenda kumpiga mtu sijui liko kifungu gani kwenye hicho kitabu.
Kanuni ya cheaters mojawapo inasema kuwa kama waibiwa wote wawili wanajua wanaibiwa basi wao wao wawili wanahipaswa kupeana kama kulipiza kisasi. Sasa hilo la kwenda kumpiga mtu sijui liko kifungu gani kwenye hicho kitabu.
Duh maty inatisha...jamani kuiba uibe usifumwe ukifumwa mwe!! utatamani usingeiba. Mie niulize kuna sheria yoyote juu ya makosa kama haya? Yaani mfano nikiwapeleka mahakamani sheria inasemaje?? Hawa waliofumaniwa nasemea
Habari zenu wana Jf,
nimepata kisa cha kusikitisha muda si mrefu na nimeamua nikiweke hapa jamvini kinaweza kutusaidia katika kufanya maamuzi yakikukuta.
Kuna mkaka namfahamu yeye ni mume wa mtu na amefumaniwa na mke wa mtu. Inasemekana mume wa huyo mdada mwizi na mke wa mkaka mwizi walishagundua na kukaa pamoja kuelezana kwamba wenza wetu wanafanya uzinzi. Wakakubaliana kuwafumania na kweli siku ya siku fumanizi likafanikiwa walichofanya ni kumpiga yule mwanaume sana hasa hasa kichwani mpaka damu imevilia kichwani na habari nilizopata hivi punde ni kuwa huyo kaka anapumulia oxygen machine once ikitolewa roho na mwili vinaachana.
Tupeane mawazo ikitokea ukamfumania mkeo/mumeo uamuzi mzuri ni upi? au walichfanya hawa mke na mume waibiwa kumpiga huyu baba mpaka kuwa hivi ni sawa?
vipi kuhusu mama maana kuna watuhumiwa wawili hapo au mme tu ndo aliadhibiwa.
Yawezekana waliadhibiwa wote ila si unajua mambo ya fumanizi labda mwende na waandishi wa habari ndio itasikika kwa sana. Hata kwa huyu mkaka na sisi tumesikia kwa sababu tu alipata majeraha makubwa na matokeo yake kumsababishia kifo ila naamini angefumaniwa na kupigwa kisha kutopata madhara yoyote hata sisi tusingesikia yangeisha kimya kimya.
Ushauri:
Msipende kuchukulia vitu kiutani utani jamani hii habari ni ya kweli kabisa kama kuna mtu anatembea na mke wa mtu yaweza kukuta yaliyomkuta mwenzio na ukaacha watoto wanateseka