HIyo inaweza kukupa idea ni watu wa aina gani hao...Yaani wewe MUME/MKE wa mtu mnapanga kwenda kumfumania MUMEO/MKEO bado haijaniingia akilini
Kwenye hii kesi kuna watuhumiwa wawili what about the other(Mwanamke). Iweje wakubaliane kumpiga huyu mwanaume mpaka yuko kwenye hati hati ya kupoteza maisha sasa ina maana huyo mwanamke mke wa mtu ambaye naye kafumaniwa hana kosa??.....There is something fishy here
Huyu dada ambaye alienda kumfumania mumewe sijui atakuwa alikuwa akimwambia jamaa "Piga huyo piga amezoea sana" sipati pichamze mwenzangu habari imenishtua sana hii
haya mambo waweza ukiahani utani halafu ukaishia shimo la tewa aisee
Maty hebu weka mambo sawa hapa....hii ni habari ya kweli?
Sina imani na Maty.....hii haiwezi kuwa kweli bana.
Itakuwaje wampige mwizi dume peke yake?
Huyu mwanamke atakuwa kilaza kweliKatika hali kama hii nashawishika kuamini kwamba huenda hawa waliofumaniwa wanachakachuana na labda huyo mwanamke lengo lake ni kumuua mumewe kwa fikra kwamba ataendelea na huyo mume mwingine.....
Kweli mambo yanabadilika, zamani kwenye biblia ilikuwa watu wakizini mwanamke ndie anayepigwa ila ktk hili mwanaume ndo kala kichapo mwanamke mzimaaaaaaaaaaaa
Sina imani na Maty.....hii haiwezi kuwa kweli bana.
Itakuwaje wampige mwizi dume peke yake?
Wat???, imeniuma sana kifo cha huyo mwanaume. Sifurahii uzinifu lakin pia kutoa roho ya mtu mwingine eti kisa nimemfumani siwezi hata siku moja, siwezi kuua ksb sina uwezo wa kuumba pia, naamini ni mungu peke yake anayewza kuchukua roho za watu ksb hata kuumba mungu anaumba.
Huyo mwanamke aliyeshiriki kumuua mumewe hata sielewi nimweke kundi gani.
hivi wanawake (baadhi) mnadhani hao wanaume ni mali zenu binafsi?.
huyo mwanaume ni binadamu tu at any time he can change kwa uzuri au ubaya lazima uwe tayari kupokea hayo mabadiliko.
Tujifunze kudhibiti hasira zetu...haya mambo ya kuwafanya wanaume mali zetu binafsi siyo sahihi kabisa.
huyu ni mali ya mungu na wazazi wake , wewe ni mshirika wake tu ktk mapenzi basi.
r i p marehemu, roho yako iwekwe mahali panapolingana na matendo yako hapa duniani.ameni
kama umemfumania na unaona hauwezi kumsamehe mwenzi wako achana naye kimapenzi , usimuue, binadamu acheni kujifanya watakatifu eti mnatoa hukumu ya kifo kwa mkosaji.
Kamanda... haya mambo ya fumanizi sio "one size fits all"
Kila mtu ana reactions zake... kwa wengine hao waliofumania wangeishia kushtuka na kujinyea hapohapo, wengine wangeita wachungaji, wengine wangeanza kusali, wengine wangeua, wengine wangejaza watu nk
haya mambo bwana... Ndio risk za kutema Big G kwa karanga za kuonja hayo
But killing is too far!!
Dah... basi mie nnavyomuamini Maty, unataka kuniambia nimeingia mkenge??
Definitely, hawa lazima wana hidden agendaHIyo inaweza kukupa idea ni watu wa aina gani hao...
Lazima wana upeo mdogo sana wa kutambua na kuchanganua mambo
Duh maty inatisha...jamani kuiba uibe usifumwe ukifumwa mwe!! utatamani usingeiba. Mie niulize kuna sheria yoyote juu ya makosa kama haya? Yaani mfano nikiwapeleka mahakamani sheria inasemaje?? Hawa waliofumaniwa nasemea
ilitakiwa waadhibiwe wote y mwanaume tuuuu! namuonea huruma huyo mmama aliyepanga na mume wa mwenzie wafanye fumanizi then kaadhibiwa mumewe tu.... imekula kwake ujue! kwan yupo mbioni kuitwa mjane kwa kujitakia kwan kila ki2 kilikua kwenye mpango ambao na yeye alishiriki! duh! kasheshe kama wana offsprings kazi kwake kuwalea...
Definitely, hawa lazima wana hidden agenda
Na huyo mwanamke (mjane) kafaidika nini na hiyo adhabu aliyompa mumewe? aah labda kapata faida ya huo ujane na mali alizoachiwa na mumewe.
LAKIN je ana ujasiri wa kuwaambia wanawe chanzo cha kifo cha baba yao??
Ukisema upige au uue kila ukifumania sasa utapiga na kuua Wanaume/ Wanawake wangapi?, manake hizi kesi ni nyingi sana sasa hivi.
KWELI HASIRA HASARA.