Kafumaniwa

Hapo wasiwasi. Haiwezekani wafumaniwe wawli halafu kichapo apokee mmoja. Ingeleta maana kama mama angepambana na mama na baba apambanae na baba. Ngoja tusubirie taarifa za kiintelijensia, maana naona kama imekaa zaidi ya fumanizi.
 
Yaani nyamayao ndio nampigia alieniambia nimuulize kuhusu mwanamke mwivi ilikuaje si ndio ananiambia amepata taarifa huyo kaka amefariki hivyo anaenda msibani hata nimeshindwa kuuliza zaidi jamani

...whaaat?

Am speechless.
Nitakuja ku comment baadae.
 
Mbu my dia wakati naandika hii thread nilikua nasikia huyo mkaka ana hali mbaya, kwa sababu nilisikia upande wa kaka tu watu wakaanza kuniuliza kuhusu mdada mwizi ikabidi nimuulize alieniambia ndio akaniambia anaelekea msibani kwani mkaka ashafariki. Amekufa mchana huu
 
Kweli tuliambiwa mwanamke mpumbavu huibomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe..............ssasa huyu kakosa mume na jela inamsubiri...........familia iliyobaki si ndo imeshavinjika?? Eh MUNGU tunusuru jamani tuwe tunaomba busara na maarifa
 
Hapo wasiwasi. Haiwezekani wafumaniwe wawli halafu kichapo apokee mmoja. Ingeleta maana kama mama angepambana na mama na baba apambanae na baba. Ngoja tusubirie taarifa za kiintelijensia, maana naona kama imekaa zaidi ya fumanizi.
We are on the same page
 
Mjukuu inauma sana....inauma aiseee
 
Hivi ipi bora, kufumania au kufumaniwa?
 
na kama ni kumkomoa basi kajikomoa mwenyewe... Marehemu hana cha kujifunza
 
Mnakumbuka mke wa mkubwa fulani enzi za mwalimu aliwanywesha watoto wake wote sumu na yeye mwenyewe kwa sababu ya wivu wa mapenzi. Kwa kweli cheating is very costly. Imagine unarudi nyumbani unakuta familia yote imeteketea na ujumbe wa lawama kwako. Kisa K au M ya nje. Mimi nashauri ni mara kumi watu ku divorce kuliko kuchezea hisia za watu. Ni very risk.
 
Hivi ipi bora, kufumania au kufumaniwa?
Ahaaa ahaaa GY yaani hapo ni sawasawa na uulize ipi bora kuua au kuuliwa l.o.l aisee hamna bora katika ya hayo mawili
 
Mi mwizi njoo niue!!!
Wakati unakuja uhakikishe hujawahi kuiba mume wa mtu tangia umemapata akili ya kujua mema na mabaya.
Na huajawa ku mcheat mumewe uliye naye sasa.
Sawa?
good one LD... Binadamu tunapenda sana ku-judge watu
 
Hapo wasiwasi. Haiwezekani wafumaniwe wawli halafu kichapo apokee mmoja. Ingeleta maana kama mama angepambana na mama na baba apambanae na baba. Ngoja tusubirie taarifa za kiintelijensia, maana naona kama imekaa zaidi ya fumanizi.

Inawezekana na mwanamke pia alipigwa ila aliepata majeraha makubwa ni mwanaume ila sijui uko imekuwaje na mumewe huko, hata huyu asingeumia na hatimaye kufa wala isingejulikana kwani walikuwa wanaizungumza kiundugu tu maana ni jambo la aibu kulitangaza mimi baada ya kulinyaka ndio nimewaletea wanajamvi wenzangu mjifunze kitu hapo, ila ni habari ya kweli kabisa
 
Mkuu....sio brain damage...kesha-:rip:....
Hii kuua wengine....
 
Hivi ipi bora, kufumania au kufumaniwa?
.................................................. ..Inauma sana aisee.................................................. ...

Bora kufumaniwa
 
The Following 8 Users Say Thank You to Maty For This Useful Post:

Fidel80 (Today), GY (Today), kidman (Today), Mbu (Today), MTM (Today), MwanajamiiOne (Today), RR (Today), The Finest (Today)

Haa haa haa! Mkuu Fidel, ningeshangaa sana kama stori hii ingekupita hivi hivi bila kuigongea senksi

Hivi ipi bora, kufumania au kufumaniwa?

Halafu nasikia wanaume mkifumania roho ndio zinawauma sana kuliko sisi, nadhani ndio maana huyo mbaba aloibiwa alimpiga sana mwenzie mpaka kumsababishia umauti
 
Huwezi jua kama walipanga kwenda kuua. Inawezekana mauaji yametokea kutokana na ugumu wa mazingira aka Hasira.
kweli kabisa

Ila hii na ishara tu kwamba ni bora kushtakia wakubwa/washauri kuliko kuhangaika na mambo yanayojulikan kuwa yatakuumiza tu!!
 
sana Finest hata nguvu za kuchangia hapa sijui zinatoka wapi naona kama porojo kumbe kweli!

We acha tu chauro haya mambo yapo ila huwa yanafichwa yakishatokea, mpaka mtu afumaniwe wa waandishi wa habari au litokee kubwa kama hili ndio mnabahatika kupata habari. watu wanadhani ni utani hiki ni kisa cha ukweli kabisa.

Unajua hata ukimwi haijawahi kutokea hata mara moja mtu akifa wakasema huyu amekufa kwa ukimwi itafichwa fichwa mradi inajulikana tu kwa wanandugu kitu ambacho watu wangekuwa wanaambiwa ukweli ingesaidia sana tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…