Njemba Soro.
JF-Expert Member
- Oct 5, 2013
- 3,732
- 6,561
Au wewe huwa unawaelewa aisee....mkuu ni sadaka sio dadaka...š¤£
watu mnahasira
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au wewe huwa unawaelewa aisee....mkuu ni sadaka sio dadaka...š¤£
watu mnahasira
Hua huko hawaendagi mkuu,,hua wanakuja mitaa ya walalahoi ,, niambie Kuna spika limefungwa sehem kama posta ama ostabei ama huku kunakojengwa majengo ya hatari nadhan goba ama wapi sjui huko hawawez kufika..ni upumbav mkubwa sana ..mbona wengine wanafungua lakin huwez kusikia kelele kabisa watu wanafanya Ibada zao kimya kimya ndani kwa ustaarabuMnakiwasha mitaa ya watu hopeless ,nenda kakiwashe mitaa ya watu wanaojielewa muone.
Nilitegemea uandike kuhusu nyumba za ibada kufanya noise polution badala ya kutaja kanisa pakee..!! Misikiti hujaiona? Au hata mabaa, mfanoni Kitambaa cheupe pale Mbagala Charambe.Hivi ni watu kukosa akili ama ni nini? Au watu wameshaona fursa kwenye haya makanisa?
Lakini hata kama umeamua kunyaka fursa uwe tajiri kama wachungaji na manabii wengine, ila ndio uje karibu ama katikati ya jamii unaweka hema sjui nini kwenye uwanja labda wa manispaa halafu unaweka na maspika na sauti kubwa, je hili kisheria linaruhusiwa nchi hii?
Halafu usanii mtupu mtu anarukwa na mapepo anapiga makelele wanamuwekea mic mdomoni, kwaio makelele yote ya mapepo ya mchongo tunayasikia, imefikia saivi ukiwa na vipesa kidogo tu unaweza kufanya lolote
Kwa nchi za wenzetu hii unaenda kuripotiwa na unakuja kuchukuliwa na kufunguliwa mashtaka ya kusababisha kero na usumbufu wa watu (Noise pollution).
Sijawahi ona ujinga wa namna hii.
Bora hata msikiti Wana ustaarabu na wao Ibada yao ni ijumaa mchana au kila siku ila saa 7 na jion , kusikia azama tu ,, sio Hawa wapuuzi wengine mziki sjui ikibindankoi ya injili assubuh Hadi jioni,, maspika yananguruma kwenye makazi ya watu,,,hapo Bado Ibada ya mapepo kuombewa, mtu anampa maiki mtu mwenye mapepo ili watu wasikie ..utapeli tu na kusumbua watuJe kufungua msikiti na kuweka kipaza sauti ni haki kisheria? Balance hoja yako ndugu
Hili liende sambamba na spika za misikitini, vyote ni kero kubwa. Kuna haja ya kuwa na maeneo maalum ya nyumba za ibada.Hivi ni watu kukosa akili ama ni nini? Au watu wameshaona fursa kwenye haya makanisa?
Lakini hata kama umeamua kunyaka fursa uwe tajiri kama wachungaji na manabii wengine, ila ndio uje karibu ama katikati ya jamii unaweka hema sjui nini kwenye uwanja labda wa manispaa halafu unaweka na maspika na sauti kubwa, je hili kisheria linaruhusiwa nchi hii?
Halafu usanii mtupu mtu anarukwa na mapepo anapiga makelele wanamuwekea mic mdomoni, kwaio makelele yote ya mapepo ya mchongo tunayasikia, imefikia saivi ukiwa na vipesa kidogo tu unaweza kufanya lolote
Kwa nchi za wenzetu hii unaenda kuripotiwa na unakuja kuchukuliwa na kufunguliwa mashtaka ya kusababisha kero na usumbufu wa watu (Noise pollution).
Sijawahi ona ujinga wa namna hii.
Mwenyewe hujitambui, mijini kila spika za misikiti ni kama zinawalenga watu walio mitaani badala ya waliopo ibadani.Bora hata msikiti Wana ustaarabu na wao Ibada yao ni ijumaa mchana au kila siku ila saa 7 na jion , kusikia azama tu ,, sio Hawa wapuuzi wengine mziki sjui ikibindankoi ya injili assubuh Hadi jioni,, maspika yananguruma kwenye makazi ya watu,,,hapo Bado Ibada ya mapepo kuombewa, mtu anampa maiki mtu mwenye mapepo ili watu wasikie ..utapeli tu na kusumbua watu
Kabisa mkuuHua huko hawaendagi mkuu,,hua wanakuja mitaa ya walalahoi ,, niambie Kuna spika limefungwa sehem kama posta ama ostabei ama huku kunakojengwa majengo ya hatari nadhan goba ama wapi sjui huko hawawez kufika..ni upumbav mkubwa sana ..mbona wengine wanafungua lakin huwez kusikia kelele kabisa watu wanafanya Ibada zao kimya kimya ndani kwa ustaarabu
Wanakwaza kusema ukweli.Ni kero ndio, ila sio hao tu,kuna hili la waislam kufunga barabara tena katikati ya jiji mda wa kuswali nalo ni kero sana.
Hela ya mboga hana,hiyo ya sound proof anaipata wapi.Sio ustaarabu kwakweli. Kama wanapenda makelele waweke na sound proof
Huyu ni kibaka ashughulikiwe ipasavyo.Au Ile unapanda daladala ikianza kuondoka jitu linaanza kelele mwishoni linadai sadaka...! Wapumbavu.
Neno upumbavu, ulilotumia hapa, ingependeza ulitumie kwa yeyote anayeweka speakers kwa ibada ama shughuli zake. Waislam mara tano kila siku kwa siku zote mwaka mzima na milele zote . Waambie nao wapumbavu uone. Kama sivyo wewe ndiye mpumbavu unayeongea kukashifu watu wasio wa dini yako.Hua huko hawaendagi mkuu,,hua wanakuja mitaa ya walalahoi ,, niambie Kuna spika limefungwa sehem kama posta ama ostabei ama huku kunakojengwa majengo ya hatari nadhan goba ama wapi sjui huko hawawez kufika..ni upumbav mkubwa sana ..mbona wengine wanafungua lakin huwez kusikia kelele kabisa watu wanafanya Ibada zao kimya kimya ndani kwa ustaarabu
Utadhani wanamiliki nchi. Unaendesha unafika mtaa hakuna namna pa kugeuzia gari mijamaa imefunga barabara tena two hours.Ni kero ndio, ila sio hao tu,kuna hili la waislam kufunga barabara tena katikati ya jiji mda wa kuswali nalo ni kero sana.
Sasa mbona km hufikirii ndugu Miskiti yote ni uratibu wa imani yao toka enzi kuitana kwa kupasa sauti. Na Miskiti huchukua MUDA mfupi sana na kuzima vipaza sauti. Tofauti na hao wanaopiga madisko kanisani usku kucha.Je kufungua msikiti na kuweka kipaza sauti ni haki kisheria? Balance hoja yako ndugu
Nasema hivi ni wapumbavu na washenzi tu kutapeli watu..asubuhi Hadi asubuhi nyingine mmeweka maspika nje mmefungulia saut Hadi asubuhi na maik mnawawekea mapepo tusikie yakipayuka utapeli tu. Utafananisha na waislamu? Waislamu Kuna kipaza sauti ambacho kimekuepo miaka na miaka kuwajulisha waislamu kua muda wa kuswali ndio.mana Kuna Azana kwa muda maalum ndio unasikia Shekhe anapiga Azana..utawafananisha na Hawa mambulula ambao wanawasha disko la injili na kuweka maspika makubwa nje na kuwapa mapepo maiki yakilipuka tusikie [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]Ne
Neno upumbavu, ulilotumia hapa, ingependeza ulitumie kwa yeyote anayeweka speakers kwa ibada ama shughuli zake. Waislam mara tano kila siku kwa siku zote mwaka mzima na milele zote . Waambie nao wapumbavu uone. Kama sivyo wewe ndiye mpumbavu unayeongea kukashifu watu wasio wa dini yako.
Hizi mada zimekuwa nyingi Sana kipindi hiki cha kizimkazi.Nasema hivi ni wapumbavu na washenzi tu kutapeli watu..asubuhi Hadi asubuhi nyingine mmeweka maspika nje mmefungulia saut Hadi asubuhi na maik mnawawekea mapepo tusikie yakipayuka utapeli tu. Utafananisha na waislamu? Waislamu Kuna kipaza sauti ambacho kimekuepo miaka na miaka kuwajulisha waislamu kua muda wa kuswali ndio.mana Kuna Azana kwa muda maalum ndio unasikia Shekhe anapiga Azana..utawafananisha na Hawa mambulula ambao wanawasha disko la injili na kuweka maspika makubwa nje na kuwapa mapepo maiki yakilipuka tusikie [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]