Kafungua makanisa na kuweka kipaza sauti katikati ya jamii ni sawa kisheria?

Sheria ya makazi inataka nyumba za ibada ziwe maeneo yasiyo ya makazi ya watu.
Ndio maana maeneo yaliyopimwa yanatenga maeneo maalum ili yatumike kidini, kibiashara, michezo na mambo mengine.
 
Utadhani wanamiliki nchi. Unaendesha unafika mtaa hakuna namna pa kugeuzia gari mijamaa imefunga barabara tena two hours.
Kiukweli hili suala limekua kero sana, na wao hawaoni shida hata kidogo.
 
Hii kitu ya baadhi ya watu kupigia wengine kelele inahudhi sana. Kuna jamaa yangu anakaa karibu na msikiti a nalalamika sana. Anataka aandikie serikali barua .
 
Hivi ni watu kukosa akili ama ni nini? Au watu wameshaona fursa kwenye haya makanisa?

Lakini hata kama umeamua kunyaka fursa uwe tajiri kama wachungaji na manabii wengine, ila ndio uje karibu ama katikati ya jamii unaweka hema sjui nini kwenye uwanja labda wa manispaa halafu unaweka na maspika na sauti kubwa, je hili kisheria linaruhusiwa nchi hii?

Halafu usanii mtupu mtu anarukwa na mapepo anapiga makelele wanamuwekea mic mdomoni, kwaio makelele yote ya mapepo ya mchongo tunayasikia, imefikia saivi ukiwa na vipesa kidogo tu unaweza kufanya lolote

Kwa nchi za wenzetu hii unaenda kuripotiwa na unakuja kuchukuliwa na kufunguliwa mashtaka ya kusababisha kero na usumbufu wa watu (Noise pollution).

Sijawahi ona ujinga wa namna hii.
Niambie nji ya kiarabu yenye maendeleo ambayo misikiti yake inapiga adhana muda wote tena kwa kutumia vipaza sauti,
 
Hivi watu wakiabudu kwa sauti za kawaida kuna shida gani? Kuna msikiti wa mtaa wa mtakuja pale kunduchi karibu na uwanja wa jeshi wamefunga vipaza sauti vitatu. Nilienda kutembelea jamaa yangu nikalala kwake, kelele ile si ya dunia hii. Ni wqle watu wanaoamini kwenye kupiga kelele nyingi kupitia vipaza sauti. Ni upuuzi sana kupiga kelele kiasi kile na kusababisha noice pollution kwa majirani kiasi kile hasa saa 11 asubuhi. Ujinga mtupu
 
Nasema hivi ni wapumbavu na washenzi tu kutapeli watu..asubuhi Hadi asubuhi nyingine mmeweka maspika nje mmefungulia saut Hadi asubuhi na maik mnawawekea mapepo tusikie yakipayuka utapeli tu. Utafananisha na waislamu? Waislamu Kuna kipaza sauti ambacho kimekuepo miaka na miaka kuwajulisha waislamu kua muda wa kuswali ndio.mana Kuna Azana kwa muda maalum ndio unasikia Shekhe anapiga Azana..utawafananisha na Hawa mambulula ambao wanawasha disko la injili na kuweka maspika makubwa nje na kuwapa mapepo maiki yakilipuka tusikie [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
Makasiriko na chuki zako vinakupunguzia umri wa kuishi. Matusi yote uliyotukana hao yakurudie wewe, dini yako na familia yako.
 
Inakulazimu uzunguke, kama ni mgeni maeneo hayo na unatumia map unaweza ukaamua kupita juu ya vichwa vya watu 😅
Macho utakayopigwa unaweza usiione kesho😁😁
 
Kwanza ukikaribia tu, baada ya kuswali wanaanza kukuangalia kama wewe ndio mwenye dhambi peke yako 😅
 
Mbona huzungumzii misikiti inayopiga makelele miaka yote katikati ya makazi, ni kero sana mapema asubuh na mida yote ya swala,
Makanisa ya manabii mengi pia ni kero
Hivi ni watu kukosa akili ama ni nini? Au watu wameshaona fursa kwenye haya makanisa?

Lakini hata kama umeamua kunyaka fursa uwe tajiri kama wachungaji na manabii wengine, ila ndio uje karibu ama katikati ya jamii unaweka hema sjui nini kwenye uwanja labda wa manispaa halafu unaweka na maspika na sauti kubwa, je hili kisheria linaruhusiwa nchi hii?

Halafu usanii mtupu mtu anarukwa na mapepo anapiga makelele wanamuwekea mic mdomoni, kwaio makelele yote ya mapepo ya mchongo tunayasikia, imefikia saivi ukiwa na vipesa kidogo tu unaweza kufanya lolote

Kwa nchi za wenzetu hii unaenda kuripotiwa na unakuja kuchukuliwa na kufunguliwa mashtaka ya kusababisha kero na usumbufu wa watu (Noise pollution).

Sijawahi ona ujinga wa namna hii.
 
Hivi watu wakiabudu kwa sauti za kawaida kuna shida gani? Kuna msikiti wa mtaa wa mtakuja pale kunduchi karibu na uwanja wa jeshi wamefunga vipaza sauti vitatu. Nilienda kutembelea jamaa yangu nikalala kwake, kelele ile si ya dunia hii. Ni wqle watu wanaoamini kwenye kupiga kelele nyingi kupitia vipaza sauti. Ni upuuzi sana kupiga kelele kiasi kile na kusababisha noice pollution kwa majirani kiasi kile hasa saa 11 asubuhi. Ujinga mtupu
Ndio mana kwa wakat huu sijashtuka kua asilimia kubwa watu saiv Wana mental health issues na sababu mojawapo ni kelele mtu anapigiwa kelele kuanzia asubuhi Hadi anapoenda kulala
 
Makasiriko na chuki zako vinakupunguzia umri wa kuishi. Matusi yote uliyotukana hao yakurudie wewe, dini yako na familia yako.
Mpumbavu wewe. Ufaham wako ni Mdogo sana na inasababishwa na ujinga, hujajibu hoja umeishia kutoa eti LAANA, [emoji23] mnaangamia kwa kukosa maarifa,, mpumbavu mkubwa, ndio mnadanganywa na walokole pumbavu.. ,,, acheni kupigia watu kelele kwenye makazi yao mnawakera watu na kuwasababishia matatizo ya akili, wapumbavu wakubwa ikiwemo na wewe unaekubaliana na upumbavu huu. Rubbish. Ndio mana trump aliwaita shitholes countries na watu wa aina yako ndio mnasababisha. [emoji706][emoji706][emoji706]

NB: na sikia ewe mpumbavu, Sina dini na siko hapa kubishania dini, kabishane wewe na wapumbavu wenzio.
 
Matusi yako yaendelee kukurudia wewe binafsi, watoto wako, ndugu zako dini yako na familia. Kila mtaa kuna misikiti inayofungulia vipaza sauti mara 5 kwa siku na kupiga mikelele. Hii ni kero pamoja na kujipa mamlaka ya kufunga mitaa kwa ibada zenu. Mtukanaji ni muovu sawa na mzinzi au muuaji. Baki nayo.
 
Hivi ni watu kukosa akili ama ni nini? Au watu wameshaona fursa kwenye haya makanisa?

Lakini hata kama umeamua kunyaka fursa uwe tajiri kama wachungaji na manabii wengine, ila ndio uje karibu ama katikati ya jamii unaweka hema sjui nini kwenye uwanja labda wa manispaa halafu unaweka na maspika na sauti kubwa, je hili kisheria linaruhusiwa nchi hii?

Halafu usanii mtupu mtu anarukwa na mapepo anapiga makelele wanamuwekea mic mdomoni, kwaio makelele yote ya mapepo ya mchongo tunayasikia, imefikia saivi ukiwa na vipesa kidogo tu unaweza kufanya lolote

Kwa nchi za wenzetu hii unaenda kuripotiwa na unakuja kuchukuliwa na kufunguliwa mashtaka ya kusababisha kero na usumbufuN a wa watu (Noise pollution).

Sijawahi ona ujinga wa namna hii.
na adhana misikitini ni sawa?
 
na adhana misikitini ni sawa?
Hii ni mada nzito ya Ibada zenye kusababisha kelele. Twapaswa kupeleka taarifa kwa Halmashauri za Manispaa, Miji na Wilaya ili zitungwe Sheria kudhibiti kelele ambazo zinaangukia katika uchafuzi wa mazingira. Kwa kweli kuna haja ya kuwa na Sheria mama kutoka Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ili kulinda afya za jamii wakiwemo wagonjwa, wazee, watoto ni pamoja na wanafunzi wanaoteseka na mirindimo ya kelele tunazoweza kudhibiti.
 
Back
Top Bottom