Kafungwa Azam, wanaumia Simba

Kafungwa Azam, wanaumia Simba

Azam wamelegezwa sio wamelegea, umekutana nae mara ngapi na anakulamba kama ice cream? Azam kakutana na kisiki ndio maana unaona kalegea but ungecheza nae wewe ulikuwa unatupwa nje ya michuano leo leo
Hakuna timu ngumu kama Azam, jamaa wapo vizuri haswa. Simba hii mbele ya hii Azam, Simba hafui dafu, ushindi wake ni droo.
 
Hakuna timu ngumu kama Azam, jamaa wapo vizuri haswa. Simba hii mbele ya hii Azam, Simba hafui dafu, ushindi wake ni droo.
Sio kwa mechi ya Leo,na wasipoangalia timu nyingi zitaokota point Tatu hapo Azam Complex....hata zilizopanda Daraja...hamna kocha hapo.
 
Ukiisema azam mbovu, manake umeidharau yanga uliyofichua udhaifu wa azam....binafsi wako vzr sn sema wamekutana na timu bora, hawa azam muwatukane mkicheza nao nyie...sisi tunaona ni timu ngumu sn japo tumeifunga
 
Ugumu wa Azam ni upi?

Magoli mangapi ya wazi jana yanga imepaisha mpira?
 
Kwakeli nashindwa kuelewa hawa Makolo nini kinawasumbua kwani alifeungwa ni Azam halafu wao ndio wanaumia. Tuwasaidiaje?

Ndio tumeanza hivyo, nyie endeleeni kumuwaza Mayele utadhani kao kwenu!!

Shauri yenu na majungu yenu.
Hatutumui ila tunamsikitikia maana ameharibu pesa nyingi Kwenda Kuweka kambi nje alafu uwanjani wanaruka ruka Kama maharage shwaini wale.
 
Back
Top Bottom