Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna timu ngumu kama Azam, jamaa wapo vizuri haswa. Simba hii mbele ya hii Azam, Simba hafui dafu, ushindi wake ni droo.Azam wamelegezwa sio wamelegea, umekutana nae mara ngapi na anakulamba kama ice cream? Azam kakutana na kisiki ndio maana unaona kalegea but ungecheza nae wewe ulikuwa unatupwa nje ya michuano leo leo
Sio kwa mechi ya Leo,na wasipoangalia timu nyingi zitaokota point Tatu hapo Azam Complex....hata zilizopanda Daraja...hamna kocha hapo.Hakuna timu ngumu kama Azam, jamaa wapo vizuri haswa. Simba hii mbele ya hii Azam, Simba hafui dafu, ushindi wake ni droo.
Ukiisema azam mbovu, manake umeidharau yanga uliyofichua udhaifu wa azam....binafsi wako vzr sn sema wamekutana na timu bora, hawa azam muwatukane mkicheza nao nyie...sisi tunaona ni timu ngumu sn japo tumeifunga
Azam wamesajiri mpaka tff wamekubaliYanga kacheza mpira wa kawaida kabisa Azam wamelegea sana
Hatutumui ila tunamsikitikia maana ameharibu pesa nyingi Kwenda Kuweka kambi nje alafu uwanjani wanaruka ruka Kama maharage shwaini wale.Kwakeli nashindwa kuelewa hawa Makolo nini kinawasumbua kwani alifeungwa ni Azam halafu wao ndio wanaumia. Tuwasaidiaje?
Ndio tumeanza hivyo, nyie endeleeni kumuwaza Mayele utadhani kao kwenu!!
Shauri yenu na majungu yenu.