Kagame alisema kuwa mkinipa bandari ya Dar es Salaam nina uwezo wa kulisha Tanzania nzima angefanyeje?

Kagame alisema kuwa mkinipa bandari ya Dar es Salaam nina uwezo wa kulisha Tanzania nzima angefanyeje?

ZALEMDA

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2017
Posts
1,956
Reaction score
2,225
Ubinafiswaji kwangu naichukulia kama tabia ya wavivu.

Bandari tuwape JKT waiendeshe.

Kweli hatujui source of income kwetu ni ipi? Dah

Mwafrika ni hasara kwa Mungu nahisi!! Miaka 60 ya uhuru hatuwezi kuendesha mambo yetu mpaka tuwapigie magoti watu wengine?
 
Back
Top Bottom