Kagame anavyoionesha duniani kuwa nchi yake ina watu wenye akili, elimu na uwezo mkubwa wa kufikiri kushinda Waisrael

Aises inaonekana una akili finyu au hujui mambo mengi ya duniani. Huo uchumi unaosema umekuwa wa Rwanda umekuzwa na Wahutu pia ambao kwa idadi ni zaidi ya 80% ya nchi ya Rwanda huku watutsi idadi yao haizidi 20% tu! Kwa lolote ulionalo huko jua Wenye nchi yao Wahutu wamechangia kwa kiasi kikubwa kuliko Watutsi ambao ni wachache sana.
Kwa taarifa yako tu: Idadi ya Watutsi wenye asili ya Burundi ni wengi kuliko Watutsi wa Rwanda, hapo tujiulize hao Watutsi wa Burundi (Ambao ni wengi kuliko Rwanda) wameisaidia nini Burundi kama kweli wako smart na wana akili kubwa!? Jifunze mambo kabla ya kupayuka.
 
Hivi hapo Rwanda ukiacha Kigali kuna jiji lingine zuri na tajiri
Hiyo Kigali yenyewe inasubiri Γ—100 kwa Mwanza tu. Ni ujinga wa wapuuzi wachache wasio na taarifa zozote wanaokurupuka kuanzisha uzi kwa taarifa za kuhadithiwa kahawani!
 
Akili yako ina matatizo
Rwanda nchi maskin unaifananishaje na israel
Rwanda na nchi nyingi za kiafrika zinapewa misaada mpaka ya condom
Israel haipo kwenye kundi la nchi maskin

Wewe huamini historia ila unataka watu wakuamini wewe ambaye unatumia hisia zako
 
Dah, nikusaidie kidogo kwa kiasi fulani Rwand imeendelea lakini sio kama unavyotaka kuwaaminisha watu hapa, ile nchi ina maendeleo kwa kiasi fulani maeneo ya Chigali tu lakini huko kwingine ni yale yale.
Ni sawa sawa useme Tanzania imeendelea sana kwa sababu ya Dar au Mwanza .
Rwanda ndugu yangu ina mazing zong mengi sana ambayo kwa juu juu huwezi kamwe kuelewa , acha niishie hapa
 
Sizungumzii utajiri wa mji mkuu, nazungumzia uwezo wa Rwanda kujilinda yenyewe na sio kulindwa na nchi za magharibi kama vile Israel.
Mkuu utajiri wa nchi unaendana na uwezo wa kujilinda, ukiwa nchi masikini hata bajeti yako ya ulinzi itakuwa ndogo, wakati mwingine huwa nahisi hizi sifa za Kagame na jeshi la Rwanda ni propaganda za kujihami na maadui tu ili nchi yake iogopeke
 
Bila shaka wewe huijui Rwanda na haukuwahi kufika Rwanda.
 
Mkuu utajiri wa nchi unaendana na uwezo wa kujilinda, ukiwa nchi masikini hata bajeti yako ya ulinzi itakuwa ndogo, wakati mwingine huwa nahisi hizi sifa za Kagame na jeshi la Rwanda ni propaganda za kujihami na maadui tu ili nchi yake iogopeke
Kumbe unahisi tu, hapo sawa..
 
Hiyo Kigali yenyewe inasubiri Γ—100 kwa Mwanza tu. Ni ujinga wa wapuuzi wachache wasio na taarifa zozote wanaokurupuka kuanzisha uzi kwa taarifa za kuhadithiwa kahawani!
Ulisoma mada vizuri lakini au umekimbilia ku comment baada ya kuona limeandikwa neno Kigali?
 
Toka uhuru hadi mwaka 94, chini ya wahutu walio wengi Rwanda na uchumi mbovu kuliko hata Malawi.

Leo hii baada ya watutsi kuingia madarakani, uchumi wa Rwanda ni mkubwa kuliko wa Burundi, Malawi na nyingine nyingine nyingi tu.
 
Hakuna sehemu iliyotajwa dini. Afrika Kusini asilimia 99 ni wakristo wa madhehebu mbali mbali akiwemo hayati Desmond Tutu. Lakini wanaichukia Israel kwa matendo yake machafu zaidi ya wewe unavyowachukia waislam.
Unawashauri nini wanaoikubali Israel na kuchukia kile wewe unapenda?

Embu jibu hii tuone iwapo wewe siyo roboti?
 
Mwee!!
Bro Are you Ok or ni mental illness hii?
 
Ila Mungu fundi aisee. Inawezekanaje mtu unaandika li uzi refu namna hii ka treni alafu uharo wa bata?
 
Reactions: 511
Unawashauri nini wanaoikubali Israel na kuchukia kile wewe unapenda?

Embu jibu hii tuone iwapo wewe siyo roboti?
Wewe ndio roboti kwa kujaribu kuandika kile kisichoandikwa. Ni wapi nimezungumzia kwamba kuna kile mimi napenda?
 
Mwee!!
Bro Are you Ok or ni mental illness hii?
Niliwahi kuchangia kwenye uzi wako fulan nikifikiri kuwa wewe ni timamu, lakini baada ya kufuatilia baadhi ya nyuzi zako zingine, nikagundua kwamba wewe ni miongoni mwa hao jamaa wa bendera ndo maana uko upande wa wenzako huko Israel.

So hauwezi kuwa sawa ki akili na ki mwili.
 

Attachments

  • images (1).jpeg
    35.7 KB · Views: 6
Mkuu kuna taarifa hujaziweka sawa ama hukuzifuatilia na umepotosha mahali.
1)Rwanda inazo rasilimali nyingi tu na ardhi yenye rutuba.
2)Rwanda katika maendeleo bado sana hususan ya kijamii hata madaktari wao huja kufundishwa Tanzania Muhimbili na Bugando.
3)Rwanda haina jeshi imara kama udaivyo.
4)Maendeleo ya Rwanda sana sana ni Kigali kwingine hakujatanuka kimaendeleo kwasababu maendeleo yao yako biased kwasababu ya ukabila.

Rwanda ni overrated kama Israel uliyoilinganisha nayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…