Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Kuna watu wajinga sana hadi huruma.Jinga mnoo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kweli wanajitahidi mno kuijenga nchi yaoToka uhuru hadi mwaka 94, chini ya wahutu walio wengi Rwanda na uchumi mbovu kuliko hata Malawi.
Leo hii baada ya watutsi kuingia madarakani, uchumi wa Rwanda ni mkubwa kuliko wa Burundi, Malawi na nyingine nyingine nyingi tu.
Wee jamaa kweli shabik maandazi kagame amefanya mauaji ya kimbari DRC kwa miongo na miongo leo unamtetea , sisi tunasema kagame apigwe na mimi nimetoa mi 5 ya kifo kwake hadi utawala wake save the dateBora Kagame ana deal na maadui zake. Ila Netanyahu anauwa wanawake na watoto wa changa hata waliozaliwa leo.
Yaani umejaza mavitu meengi ya kiupotoshaji eti Nkurunziza alituma kikosi rwanda duuuh siyo kweli ni vice versa kagame ndye alituma vikosi kuivamia burundi kupitia mkoa wa cankuzo baada ya burundi kuusoma mchezo walitega ambush kwakuruhusu wavamizi kuingia kirahi then wakashambuliwa kutoka nyuma huku wakisukumwa nchini burundi kati nakumbuka mpaka mashirika ya kutetea haki za binadamu walipiga kelele kwa kilichowakuta wa vamizi na km hulijui hilo ingia Google utapata taarifa hiyoNiaje waungwana,
Leo nimeamua nije na ukweli ambao baadhi ya ndugu zetu wayahudi wa bonyokwa, tangibovu, kiembe mbuzi na buza hawaujui. Hii ni kwa sababu wale wachache wenye kuujua huu ukweli hawataki kuusikia popote, u kuuzungumzia kwa mtu yoyote.
Kwanza naomba nianze na Rwanda ya leo inayoongozwa na jemedari Paul Kagame kutoka kabila la watutsi walio wengi serikalini, na wenye maamuzi ya mwisho ya nchi hiyo, japo nafahamu kuwa nchi hiyo ina makabila mengine kama vile wahutu na watwa.
Historia inasema, mnamo miaka ya 60 kuelekea 70, ulifanyika msako nchini Rwanda, kwa lengo la kuwaangamiza wanyarwanda wote wenye asili ya kitutsi. Hali hiyo ya msako ilipelekea maelfu ya watutsi kukimbilia sehem mbali mbali za dunia hii, lakini wengi wao walikimbilia katika nchi jirani za Tanzania, Burundi, Congo na Uganda. Watutsi walipokuwa huko kambini waliishi maisha ya shida na ya mateso makubwa sana (hapa watu waliowahi kuishi kambini watakuwa wamenielewa).
Baada ya mateso ya muda mrefu wakiwa nje ya nchi yao, ikabidi jumuia ya kimataifa ikaingilia kati ili kuangalia uwezekano wa watutsi hao warudi katika nchi yao wakaishi maisha yale yale ya kawaida wanayoishi wanyarwanda wenzao (wahutu na watwa). Mpaka hapo hakuna aliekuwa anajua kwamba kurudi kwao kungekuwa ni kwa usalama kweli au ni mtego wameweka au kuwekewa.
Mwaka 94 (miaka 30 tu iliyopita) makubaliano yakafanyika ili watutsi wale waliokuwa nje waanze kuingia nchini kwao kwa makubaliano maalum ya kulindwa na umoja wa mataifa ili wasidhuriwe kwanza. Na wakati huo kuna baadhi ambao sio politicians walikuwa wameshaanza kuingia. Wakati juhudi za kimataifa zikiendelea kufanyika huko Arusha kwa kuwaandalia hao watutsi mahali watapofikia wale watakaoletwa. Ghafla aliekuwa raisi wa nchi hiyo ambae ndo alikuwa anatoka kufanya mazungumzo ya kuwataharishia wageni wake makazi akatunguliwa akiwa angani.
Bwana wee, kilichofuatia kila mtu anakijua, mauaji ya kimbari yakaanzishwa dhidi ya watutsi. Ilianza chinja chinja, kwa aliehusika na asiehusika, aliekuwepo katika mission ya mauaji na asiekuwepo, wakubwa kwa wadogo, wanawake kwa wanaume, wazee kwa vijana. Yani watutsi walichinjwa kama mbuzi wa machinjioni huku dunia ikiangalia tu kinachoendelea. Lakini kama wazee wetu walivyosema kuwa "kila muosha na yeye ataoshwa". Ghafla hali ikabadilika, wachinjaji (wahutu) wakageuka kuwa wachinjwaji. Kimbembe hadi wakajikuta wako Congo wote, mji na nchi wamewaachia watutsi.
Watutsi walipoingia waliikuta nchi inanuka harufu za maiti zilizooza mitaani, umasikini wa kutupwa, miji michafu nk. Wanyarwanda wakaanza kuijenga nchi yao taratibu huku wakijifunza baadhi ya mambo kutoka kwa majirani zao ikiwemo Tanzania, Uganda, Kenya na hata nchi za magharibi.
Leo hii tunavyoongea ni miaka 30 tu toka waipindue serikali ya kihutu, lakini hatua ya maendeleo iliyochukuliwa ni kubwa mno ukilinganisha na nchi zingine ambazo hazikuwahi kukumbana na vita vya aina yoyote toka uhuru. Rwanda ya leo ina jeshi lake imara, ina silaha zake imara inanunua kutoka nje, ina uchumi mzuri kwa kiasi fulan. Japokuwa nchi hiyo haina rasilimali zozote za maana na pia imetoka vitani miaka 30 tu iliyopita, plus imezungukwa na maadui watupu ukiitoa tu Tanzania na kidogo Uganda, lakini kamwe, hautosikia kuwa Kagame anailinda nchi yake kupitia msaada wa kijeshi wa Marekani, Ufaransa au Russia. Kagame ana maadui wengi kuanzia wa nchi zilizomzunguka hadi kwa makundi fulan ya waasi, lakini kamwe hautomsikia analia lia eti mataifa makubwa yaje yamsaidie kupambana na maadui waliomzunguka.
Ngurunziza aliwahi kumjambisha Kagame kwa kumtumia vikundi vya waasi vikafanye maangamizi katika ardhi ya Rwanda, wale waasi walichokutana nacho huko Rwanda, kimewafanya wengine waliokuwa wanataka na wao waingie ku take advantage wachenji mipango yao. Leo hakuna tena muasi anaetaka kuthubutu kwenda kuvamia ardhi ya Rwanda. Wengi wanaishia kupiga zogo, na mikwara ya hapa na pale huko katika misitu ya Congo, Burundi nk. Hakuna mwenye hamu hata ya kusogelea mpaka, achilia mbali kuvamia nchi. Tshesekedi ashawahi kuchimba mkwara kwa kutumia videge vyake visivyokuwa na rubani, Rwanda yenyewe bila kuhitaji msaada wa Marekani wala Ufaransa, alivishusha videge vile alaf akawapa askari wa Congo wampelekee bosi wao wakamuoneshe kuwa silaha alizokuwa nazo si lolo si chochote, Tshesekedi alivyoona vile akafyata, hadi leo hajarudi kupeleka ndege wala mwanajeshi hata mmoja mpakani. Rwanda chini ya raisi Kagame ina viongozi wasomi ambao hawapendi kuona nchi yao inashindwa kujiendesha yenyewe, wamepambana wenyewe bila msaada wa nchi yoyote kutatua changamoto zao kubwa na ndogo.
Tukija kwa Israel, nayo ni kama Rwanda. Walikimbizwa katika nchi yao na kwenda kuishi Uhamishoni. Nao pia waka face mauaji ya kimbari kama wanyarwanda huko Ujerumani. Japo haijulikani kama walikufa wayahudi wote, na kina Netanyahu (wazungu) wakavishwa uyahudi wa mchongo kwa masilahi ya wazungu wenzao pale Mashariki ya kati. Kina Netanyahu wakaletwa na kupachikwa pale wakiambiwa eti ndio kwao. Anyway hilo sio tatizo.
Tatizo ni kwamba inakuaje nchi ambayo imeanzishwa miaka zaidi ya 75 iliyopita mpaka leo inashindwa kujiendesha yenyewe. Yani pamoja na kutumia media kuipamba sijui Mosad sijui upuuzi gani, lakini bado tunauona ukweli kuwa nchi hii inapata misaada ya kijeshi, silaha na hata bajeti ya nchi kutoka nje. Mbona wanashindwa hata na wanyarwanda ambao wameamu kuishi kwa kujitegemea.
Kama maadui hatari hata Rwanda anao na ana deal nao mwenyewe, so inakuaje Israel nayo ishindwe ku deal nao yenyewe? Yani hata Hamas kikundi cha vijana wasiokuwa na uwezo wa kutengeneza hata gwanda za jeshi ni wa kuwaombea msaada wa kijeshi kutoka Marekani, Uingereza na Ujerumani ili upambane nao kweli?
Yani vijana wasiokuwa hata na kifaru ni wa kuwaendea kwenye vita na midege ya kivita, mivifaru na manuari za kivita kweli?
Ama kweli tumshukuru mtu alieleta utandawazi na simu za internet. Maana zimetusaidia kujua mengi tuliokuwa hatuyajui. Tulikuwa tunadanganywa mengi kuhusu taifa hilo kiasi ya kwamba tulifikiri labda nchi hii imefunikwa na mbingu ya chuma ambacho hakiwezi kuruhusu chochote kibaya kuingia ndani. Lakini kumbe ni taifa la hovyo la wanaoishi kwa kulia lia na kutegemea msaada wa nchi zingine. Tena hili la kulia lia na kutegemea msaada wa nchi zingine linaonekana ndio utamaduni na asili yao, maana hata yule raisi wa Ukraine ambae ana asili ya kiyahudi na yeye kila siku analia lia ili asaidiwe kupewa silaha na fedha [emoji23][emoji23][emoji23].
Kwangu mimi Kagame na serikali yake ni watu makini na wenye akili mara mia moja zaidi ya Netanyahu na genge lake la mashoga huko Israel.
Hata hili shambulizi la Iran, waisrael washukuru Mungu nchi takriban 7 zilifanya juhudi usiku na mchana kuzuia mashambulizi yale. Laiti kama wangeachwa kama Rwanda wajitetee wenyewe, leo hii Netanyahu na wahuni wenzake wangekuwa wamefukiwa vifusini.
Wanaichukia Israel Afrika kusini ni viongozi wa serikali ambao ni wanachama wa chams cha ANC ambacho kilisaidiwa na jeshii la wapalestina walipokuwa wakipigania uhuruAfrika kusini asilimia 99 ni wakristo wa madhehebu mbali mbali akiwemo hayati Desmond Tutu, lakini wanaichukia Israel zaidi ya vile wewe unavyowachukia waislam.
Picha na video umesahau.Niaje waungwana,
Leo nimeamua nije na ukweli ambao baadhi ya ndugu zetu wayahudi wa bonyokwa, tangibovu, kiembe mbuzi na buza hawaujui. Hii ni kwa sababu wale wachache wenye kuujua huu ukweli hawataki kuusikia popote, u kuuzungumzia kwa mtu yoyote.
Kwanza naomba nianze na Rwanda ya leo inayoongozwa na jemedari Paul Kagame kutoka kabila la watutsi walio wengi serikalini, na wenye maamuzi ya mwisho ya nchi hiyo, japo nafahamu kuwa nchi hiyo ina makabila mengine kama vile wahutu na watwa.
Historia inasema, mnamo miaka ya 60 kuelekea 70, ulifanyika msako nchini Rwanda, kwa lengo la kuwaangamiza wanyarwanda wote wenye asili ya kitutsi. Hali hiyo ya msako ilipelekea maelfu ya watutsi kukimbilia sehem mbali mbali za dunia hii, lakini wengi wao walikimbilia katika nchi jirani za Tanzania, Burundi, Congo na Uganda. Watutsi walipokuwa huko kambini waliishi maisha ya shida na ya mateso makubwa sana (hapa watu waliowahi kuishi kambini watakuwa wamenielewa).
Baada ya mateso ya muda mrefu wakiwa nje ya nchi yao, ikabidi jumuia ya kimataifa ikaingilia kati ili kuangalia uwezekano wa watutsi hao warudi katika nchi yao wakaishi maisha yale yale ya kawaida wanayoishi wanyarwanda wenzao (wahutu na watwa). Mpaka hapo hakuna aliekuwa anajua kwamba kurudi kwao kungekuwa ni kwa usalama kweli au ni mtego wameweka au kuwekewa.
Mwaka 94 (miaka 30 tu iliyopita) makubaliano yakafanyika ili watutsi wale waliokuwa nje waanze kuingia nchini kwao kwa makubaliano maalum ya kulindwa na umoja wa mataifa ili wasidhuriwe kwanza. Na wakati huo kuna baadhi ambao sio politicians walikuwa wameshaanza kuingia. Wakati juhudi za kimataifa zikiendelea kufanyika huko Arusha kwa kuwaandalia hao watutsi mahali watapofikia wale watakaoletwa. Ghafla aliekuwa raisi wa nchi hiyo ambae ndo alikuwa anatoka kufanya mazungumzo ya kuwataharishia wageni wake makazi akatunguliwa akiwa angani.
Bwana wee, kilichofuatia kila mtu anakijua, mauaji ya kimbari yakaanzishwa dhidi ya watutsi. Ilianza chinja chinja, kwa aliehusika na asiehusika, aliekuwepo katika mission ya mauaji na asiekuwepo, wakubwa kwa wadogo, wanawake kwa wanaume, wazee kwa vijana. Yani watutsi walichinjwa kama mbuzi wa machinjioni huku dunia ikiangalia tu kinachoendelea. Lakini kama wazee wetu walivyosema kuwa "kila muosha na yeye ataoshwa". Ghafla hali ikabadilika, wachinjaji (wahutu) wakageuka kuwa wachinjwaji. Kimbembe hadi wakajikuta wako Congo wote, mji na nchi wamewaachia watutsi.
Watutsi walipoingia waliikuta nchi inanuka harufu za maiti zilizooza mitaani, umasikini wa kutupwa, miji michafu nk. Wanyarwanda wakaanza kuijenga nchi yao taratibu huku wakijifunza baadhi ya mambo kutoka kwa majirani zao ikiwemo Tanzania, Uganda, Kenya na hata nchi za magharibi.
Leo hii tunavyoongea ni miaka 30 tu toka waipindue serikali ya kihutu, lakini hatua ya maendeleo iliyochukuliwa ni kubwa mno ukilinganisha na nchi zingine ambazo hazikuwahi kukumbana na vita vya aina yoyote toka uhuru. Rwanda ya leo ina jeshi lake imara, ina silaha zake imara inanunua kutoka nje, ina uchumi mzuri kwa kiasi fulan. Japokuwa nchi hiyo haina rasilimali zozote za maana na pia imetoka vitani miaka 30 tu iliyopita, plus imezungukwa na maadui watupu ukiitoa tu Tanzania na kidogo Uganda, lakini kamwe, hautosikia kuwa Kagame anailinda nchi yake kupitia msaada wa kijeshi wa Marekani, Ufaransa au Russia. Kagame ana maadui wengi kuanzia wa nchi zilizomzunguka hadi kwa makundi fulan ya waasi, lakini kamwe hautomsikia analia lia eti mataifa makubwa yaje yamsaidie kupambana na maadui waliomzunguka.
Ngurunziza aliwahi kumjambisha Kagame kwa kumtumia vikundi vya waasi vikafanye maangamizi katika ardhi ya Rwanda, wale waasi walichokutana nacho huko Rwanda, kimewafanya wengine waliokuwa wanataka na wao waingie ku take advantage wachenji mipango yao. Leo hakuna tena muasi anaetaka kuthubutu kwenda kuvamia ardhi ya Rwanda. Wengi wanaishia kupiga zogo, na mikwara ya hapa na pale huko katika misitu ya Congo, Burundi nk. Hakuna mwenye hamu hata ya kusogelea mpaka, achilia mbali kuvamia nchi. Tshesekedi ashawahi kuchimba mkwara kwa kutumia videge vyake visivyokuwa na rubani, Rwanda yenyewe bila kuhitaji msaada wa Marekani wala Ufaransa, alivishusha videge vile alaf akawapa askari wa Congo wampelekee bosi wao wakamuoneshe kuwa silaha alizokuwa nazo si lolo si chochote, Tshesekedi alivyoona vile akafyata, hadi leo hajarudi kupeleka ndege wala mwanajeshi hata mmoja mpakani. Rwanda chini ya raisi Kagame ina viongozi wasomi ambao hawapendi kuona nchi yao inashindwa kujiendesha yenyewe, wamepambana wenyewe bila msaada wa nchi yoyote kutatua changamoto zao kubwa na ndogo.
Tukija kwa Israel, nayo ni kama Rwanda. Walikimbizwa katika nchi yao na kwenda kuishi Uhamishoni. Nao pia waka face mauaji ya kimbari kama wanyarwanda huko Ujerumani. Japo haijulikani kama walikufa wayahudi wote, na kina Netanyahu (wazungu) wakavishwa uyahudi wa mchongo kwa masilahi ya wazungu wenzao pale Mashariki ya kati. Kina Netanyahu wakaletwa na kupachikwa pale wakiambiwa eti ndio kwao. Anyway hilo sio tatizo.
Tatizo ni kwamba inakuaje nchi ambayo imeanzishwa miaka zaidi ya 75 iliyopita mpaka leo inashindwa kujiendesha yenyewe. Yani pamoja na kutumia media kuipamba sijui Mosad sijui upuuzi gani, lakini bado tunauona ukweli kuwa nchi hii inapata misaada ya kijeshi, silaha na hata bajeti ya nchi kutoka nje. Mbona wanashindwa hata na wanyarwanda ambao wameamu kuishi kwa kujitegemea.
Kama maadui hatari hata Rwanda anao na ana deal nao mwenyewe, so inakuaje Israel nayo ishindwe ku deal nao yenyewe? Yani hata Hamas kikundi cha vijana wasiokuwa na uwezo wa kutengeneza hata gwanda za jeshi ni wa kuwaombea msaada wa kijeshi kutoka Marekani, Uingereza na Ujerumani ili upambane nao kweli?
Yani vijana wasiokuwa hata na kifaru ni wa kuwaendea kwenye vita na midege ya kivita, mivifaru na manuari za kivita kweli?
Ama kweli tumshukuru mtu alieleta utandawazi na simu za internet. Maana zimetusaidia kujua mengi tuliokuwa hatuyajui. Tulikuwa tunadanganywa mengi kuhusu taifa hilo kiasi ya kwamba tulifikiri labda nchi hii imefunikwa na mbingu ya chuma ambacho hakiwezi kuruhusu chochote kibaya kuingia ndani. Lakini kumbe ni taifa la hovyo la wanaoishi kwa kulia lia na kutegemea msaada wa nchi zingine. Tena hili la kulia lia na kutegemea msaada wa nchi zingine linaonekana ndio utamaduni na asili yao, maana hata yule raisi wa Ukraine ambae ana asili ya kiyahudi na yeye kila siku analia lia ili asaidiwe kupewa silaha na fedha 😂😂😂.
Kwangu mimi Kagame na serikali yake ni watu makini na wenye akili mara mia moja zaidi ya Netanyahu na genge lake la mashoga huko Israel.
Hata hili shambulizi la Iran, waisrael washukuru Mungu nchi takriban 7 zilifanya juhudi usiku na mchana kuzuia mashambulizi yale. Laiti kama wangeachwa kama Rwanda wajitetee wenyewe, leo hii Netanyahu na wahuni wenzake wangekuwa wamefukiwa vifusini.
Mzee chukua jambia kamkate kichwa Netanyahu😜😜Bora Kagame ana deal na maadui zake. Ila Netanyahu anauwa wanawake na watoto wa changa hata waliozaliwa leo.
Asante mkuu, huwa nakubali mtu akinisahihisha kistarab na kisomi kama ulivyofanya wewe. Shukran sana mkuu.Mkuu kuna taarifa hujaziweka sawa ama hukuzifuatilia na umepotosha mahali.
1)Rwanda inazo rasilimali nyingi tu na ardhi yenye rutuba.
2)Rwanda katika maendeleo bado sana hususan ya kijamii hata madaktari wao huja kufundishwa Tanzania Muhimbili na Bugando.
3)Rwanda haina jeshi imara kama udaivyo.
4)Maendeleo ya Rwanda sana sana ni Kigali kwingine hakujatanuka kimaendeleo kwasababu maendeleo yao yako biased kwasababu ya ukabila.
Rwanda ni overrated kama Israel uliyoilinganisha nayo.
Jamaa wanajitambua sana mkuu, sio kama Israel inaishi kwa kutegemea kila kitu kutoka US, UK, France na German.Kwa kweli wanajitahidi mno kuijenga nchi yao
Kama coincidence 🤔 tu leo nilipita Heathrow Airport nikaiona ndege yao imepaki hapa
Kupaki hapo na kutua tu Heathrow ni gharama kubwa mno ila wao wameingia na wanarusha ndege zao mpaka hapa
Safari ijayo ntapanda RwandAir mpaka Kigali halafu napumzika kidogo na kula Bata
Sisi zetu kutua hapa ni ndoto bado View attachment 2967746
Vipi na Netanyahu anaeuwa maelfu ya watoto na kina mama, yeye utatoa ngapi kwa kifo chake na utawala wake?Wee jamaa kweli shabik maandazi kagame amefanya mauaji ya kimbari DRC kwa miongo na miongo leo unamtetea , sisi tunasema kagame apigwe na mimi nimetoa mi 5 ya kifo kwake hadi utawala wake save the date
Ukiwa na huruma ndo matokeo yake fedha za miradi ya barabara, shule na hospital zinaliwa huku wewe mwenye mamlaka ya kuwahenyesha wenye kutafuna miradi ukiendelea kuwaonea huruma tu, bila kujali maelf ya raia wako wanakufa na magonjwa kwa kukosa hospital, wanafunzi wanashindwa kwenda shule kwa kukosa usafiri maana gari haziwezi kufika sehem ambayo haina barabara, wanafunzi wengi wanasomea chini ya miti kwa kukosa shule, madarasa nk.Binafs Kagame namkubali ni kiongoz makin zaid East Africa hii na nch zote za jiran, Shida yake ni hana utu kabisa linapokuja swala la kuilinda na kuimalisga empire yake anafanya chochote bila huruma.
Sahih kabisa, Habar gan kwa majanga anayoyasababisha kwa Wakongo wasio na hatia?Ukiwa na huruma ndo matokeo yake fedha za miradi ya barabara, shule na hospital zinaliwa huku wewe mwenye mamlaka ya kuwahenyesha wenye kutafuna miradi ukiendelea kuwaonea huruma tu, bila kujali maelf ya raia wako wanakufa na magonjwa kwa kukosa hospital, wanafunzi wanashindwa kwenda shule kwa kukosa usafiri maana gari haziwezi kufika sehem ambayo haina barabara, wanafunzi wengi wanasomea chini ya miti kwa kukosa shule, madarasa nk.
China leo imepiga hatua kubwa kwa sababu ya viongozi wao kuweka huruma pembeni.
Deeply and emotional reply kwa jamaa hongera sanaa kwa jumfahamisha S.A na Israel ni tofauti,isitoshe sikujua kama Israel ndo alikua akiwauzia silaha makaburu licha kuwekewa vikwazo makaburu lkn Israel akajenga viwanda huko huko..inshort S.A imejengwa na Israel majengo mengi waliyajenga waoAfrika kusini asilimia 99 ni wakristo wa madhehebu mbali mbali akiwemo hayati Desmond Tutu, lakini wanaichukia Israel zaidi ya vile wewe unavyowachukia waislam.
Hapo sijamtaja hayati baba wa Taifa mkatoliki original. Hivyo sio kila anaeipinga Israel ni muislam au anaeunga mkono unyama wa Israel ni mkristo. Acha kukariri maana post haikutaja dini ya mtu.
Israel ni taifa lililojaa damu toka zamani. Lili support makaburu wawamalize waafrika wenzetu huko bondeni.Deeply and emotional reply kwa jamaa hongera sanaa kwa jumfahamisha S.A na Israel ni tofauti,isitoshe sikujua kama Israel ndo alikua akiwauzia silaha makaburu licha kuwekewa vikwazo makaburu lkn Israel akajenga viwanda huko huko..inshort S.A imejengwa na Israel majengo mengi waliyajenga wao