Kagame anavyoionesha duniani kuwa nchi yake ina watu wenye akili, elimu na uwezo mkubwa wa kufikiri kushinda Waisrael

Afrika kusini wameruhusu ushoga.
Israel sasa ushoga ndo ulipoanzia na ndo utapoishia. Mpaka jeshini na serikalini huko Israel kumejaa mashoga. Ukute Netanyahu ana bahasha lake linampumulia tu kimya kimya.
 
Hayati mwl Nyerere, mtumishi wa Mungu Desmond Tutu na Mandela walikufa wakiichukia Israel zaid ya wewe uwachukiavyo mujahidina.

Mbona hukuwahi kuwapa ushauri wakajiunge na wajahidina?
Huenda nao ni wajahidina wenzako
 
Bora wewe unasimamia ukweli, na sio mihemko ya kidini. Unakuta jitu jeusi tii eti na lenyewe linajihisi lina damu moja na Netanyahu. Netanyahu katumia mamilioni ya dola kuzuia shambulio na bado kapigwa kipigo Kizito ambacho wa Iran ilikuwa ni kama kumpiga dogo asiesikia konzi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ulianza vizuri Uzi mwishoni ukaingiza ufaizafoxy ndipo ulipoharibu
 
Nakala kwa:
MK254 , johnthebaptist , Yoda et-al
 
Ulianza vizuri Uzi mwishoni ukaingiza ufaizafoxy ndipo ulipoharibu
Hayati mwl Julius. K . Nyerere, hayati mzee Nelson Mandela, hayati acrchbishop Desmond Tutu nao walikuwa kina Faiza Foxy?

Kwamba watu waendelee kuwa makondoo wa kuamini kila kinachosifiwa kuhusu Israel hata kama sifa zenyewe ni za uongo na ukihoji au kufikiria nje ya box la wenye propaganda zao uonekane ni Faiza Foxy?

Kwa namna hii binadam hasa waafrika bado tupo mbali sana kufikia uwezo wa wenzetu kifikra, ki akili na kiuwezo wa kuona mbali.

Acha tu Wachina watuache mbali na wakati miaka ya 70 tulikuwa nao sawa kiuchumi.
 

Attachments

  • 13820411_474e176b5f9b4f73a0efd5c863b1537b_jpeg9007ab240faecd3b84b2d425535ccbd1.jpeg
    107.9 KB · Views: 2
Maamuma wa historia hasa hawa watoto wengi wa 2000 hawaelewi haya. Wako kimihemko zaidi
 
Kuna vitu vingi sana huelewi linapokuja suala la ulinzi na vita.
 
Kuna vitu vingi sana huelewi linapokuja suala la ulinzi na vita.
Huo ni mtazamo wako tu. Hata wewe ule uzi wako wa kale kashambulizi uchwara kalikofanywa na Israel watu wengi wenye akili tuliona kuwa bado haujui mambo mengi ulioandika. Au kama unajua basi ulipindisha makusudi ili uuridhishe moyo wako.
 
Propaganda hizi ni upuuzi, tu, Rwanda ni maskini tu, Kagame amejitahidi kuiweka nchi pazuri, lakini bado sana, hao Watusi wenye akili wamevumbua nini? Ni wa babe wa bidhaa gani? Vietnam wana halotel, IPO dunia nzima, Taiwan wanaongoza kwa kutengeneza electronic chips, Israel wana tekinolojia, hao Watusi wana nini? Kuiba madini Congo? Au, kuwa, ghetto la wakimbizi wanaofukuZwa ulaya? Pathetic
 
Mkuu nitaandika uzi mrefu kabisa kuweka sawa aina hii ya kukosa uelewa na upotoshaji uliojaa na kuzagaa katika jukwa ka kimataifa.
Kabla hata ya kuandika huo uzi, tayari mwenyewe ushaonesha upande wako. So utachokiandika kitakuwa hakina maana zaidi ya kuendelea na zile zile propaganda za miaka yote.

Ukiona refa anachezesha mpira kati ya timu yake na timu ya wengine, basi jua mapema kuwa matokeo yatakuwa sio ya haki. Ni wazi kuwa refa atakuja na ushindi wa timu yake mapema kabla hata ya mechi. Hata Yanga ilinyimwa goli la wazi, baada ya mwenye timu iliyofungwa kuwa ndio raisi wa shirikisho la soka Afrika.
 
Shida inakuja pale punguani anapowaona wengine wote punguani isipokuwa yeye tu (Late Kanumba)
 
Reactions: 511
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…