Kagame Cup, Dar es Salaam-Tanzania 2015 Special thread!

Kagame Cup, Dar es Salaam-Tanzania 2015 Special thread!

Huyu Bocco huyu! Timu Bora, Bidhaa Bora!
 
Hivi wale wa mchangani wanacheza lini?

Go Go Azam

Wakiwahi kurudi watacheza Kagame Cup 2017. Mashindano haya yanayoendelea Dar ni ya mabingwa wa 2014 ambapo Azam ndiye mwakilishi wa kwanza wa Tanzania na Yanga akiwa mwakilishi wa pili. Mwaka kesho viz. 2016 watashiriki mabingwa wa 2015 ambapo Yanga ataiwakilisha Tanzania. Kwa hiyo kama wale wa Mchangani wanataka kushiriki mashindabo haya basi wachukue ubingwa wa VPL 2016 ili washiriki 2017.
 
Mkuu weka kikosi km uko sawa

1. Azam sembe
2. Azam ice cream
3. Azam Cola
4. Azam chapa maandazi
5. Azam maji uhai
6. Azam ballcone ice cream
7. Azam sealink
8. Azam kilimanjaro 1
9. Azam kilimanjro 2
10. Azam TV
11. Azam Milk

Mkuu ngoja niwasome hawa vizuri ntakupa kikosi kamili. Hiko cha juu hapo jst jokin tuu
 
Mkuu weka kikosi km uko sawa

Kikosi cha Azam FC kinachoshuka leo uwanjani kukwaana na KCCA kwa kutumia mfumo wa 3-5-2 ni kama ifuatavyo
GOLIKIPA
Aishi manula
WALINZI
Said Morad
Agrey Morris
Wawa sijui nani
VIUNGO WA PEMBENI
Shomari Kapombe
Erasto Nyoni
VIUNGO
Himid mao
Frank Domayo
Abubakar Salum Sureboy
WASHAMBULIAJI
John Bocco
Didier Kavumbagu
 
1. Azam sembe
2. Azam ice cream
3. Azam Cola
4. Azam chapa maandazi
5. Azam maji uhai
6. Azam ballcone ice cream
7. Azam sealink
8. Azam kilimanjaro 1
9. Azam kilimanjro 2
10. Azam TV
11. Azam Milk

Mkuu ngoja niwasome hawa vizuri ntakupa kikosi kamili. Hiko cha juu hapo jst jokin tuu

Hahahaha,Aisee we Danny bangi za chukuchuku mbaya.
 
ndetichia ushalihama chama nini au kukanda maandazi kumekushinda. Njoo mtupie update za chama lenu Azam.

HADI AIBU MIKIA IMEJAA UWANJANI UTAFIKIRI NA WAO WANASHIRIKI

Mikia suala la kushangilia wamelisahau kitambo,cku hz wamezoea kuzomea tu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom