Danny greeny
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 3,856
- 1,648
Huu mpira wa azam huu sijui kwanini huwa hawafiki mbali
Hivi wale wa mchangani wanacheza lini?
Go Go Azam
Hivi wale wa mchangani wanacheza lini?
Go Go Azam
azam hawachezi vizuri zaidi ya gori waliropata.
Hivi wale wa mchangani wanacheza lini?
Go Go Azam
Salum abubakar katoka kukosa goli sasahivi shuti limegonga mwamba
31' mins Didier Kavumbagu Yellow Card
Mkuu weka kikosi km uko sawa
azam hawachezi vizuri zaidi ya gori waliropata.
Mkuu weka kikosi km uko sawa
1. Azam sembe
2. Azam ice cream
3. Azam Cola
4. Azam chapa maandazi
5. Azam maji uhai
6. Azam ballcone ice cream
7. Azam sealink
8. Azam kilimanjaro 1
9. Azam kilimanjro 2
10. Azam TV
11. Azam Milk
Mkuu ngoja niwasome hawa vizuri ntakupa kikosi kamili. Hiko cha juu hapo jst jokin tuu
ndetichia ushalihama chama nini au kukanda maandazi kumekushinda. Njoo mtupie update za chama lenu Azam.
HADI AIBU MIKIA IMEJAA UWANJANI UTAFIKIRI NA WAO WANASHIRIKI