Danny greeny
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 3,856
- 1,648
Duh kumbe!!!! Aisee hawa jamaa washakuwa WAHAPAHAPA FCKwani bro Danny umesahau na mwaka jana pia na mwaka juzi?
Hebu piga hesabu zako vizuri kisha uniambie Mikia wana miaka mingapi tokea wakose kushiriki kwenye mechi za kimataifa.
SSC mabingwa mara sita kagame cup.
Duh kumbe!!!! Aisee hawa jamaa washakuwa WAHAPAHAPA FC
SSC mabingwa mara sita kagame cup.
Usiwe mnafiki.. Jibu unalijua bado unaniuliza mtani!?Sawa. Mara ya mwisho kashiriki lini?
Mara ya mwisho walishiriki 2012 hapo Dar na Yanga kunyakua ubingwa wa Kagame Cup. Walikuwa mabingwa wa Tanzania Bara (TZB) mwaka 2011-2012, walipaswa kushiriki 2013 kama wawakilishi wa TZB huku Yanga wakiwa mabingwa watetezi, mashindano yalifanyika Sudan (Darfur) ambapo Serikali ilizuia timu za Tanzania zisishiriki kwa sababu za kiusalama hivyo Mikia hawakushiriki, mwaka 2014 hawakushiriki, 2015 hawashiriki na 2016 hawatashiriki kwa 100% kwa vile hawana sifa.
Mikia FC a.k.a Mchangani FC oyee!
Usiwe mnafiki.. Jibu unalijua bado unaniuliza mtani!?
Hahahaha. Ukitamka wewe mtani mi burdaaaani kabisa.
Hahahahah Mimi simba dume hujisikia raha sana nikikuita "Mwajuma ndala ndefu"
Simba gani kila mwaka huchukui makombe ya maana wewe unachukua makombe ya pombe tuu (TBL). Nasikia simba sasahivi yuko Lushoto anakula mapeasi
Super sport9