Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 10,568
- 9,710
Hivi KMKM walitokaje jana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi KMKM walitokaje jana?
Full time AZAM FC WINS
mudathir na yeye anagonga mwamba yeye na goli
Hahaha,jamaa kachomekea,alijua mpira ni lazima dk 90.92' Mins achaupotoshaji
ABUBAKARY SALUM SUREBOY. Kachaguliwa kuwa DSTV Man of the MATCH. NA KUPEWA KA ZAWADI KAKE KA DECORDER
ABUBAKARY SALUM SUREBOY. Kachaguliwa kuwa DSTV Man of the MATCH. NA KUPEWA KA ZAWADI KAKE KA DECORDER
Sasa acha kesho tuipime Yanga kwa Kibonde.
Sasa acha kesho tuipime Yanga kwa Kibonde.
Yanga anacheza jumatano.
JE WAJUA? Simba a.k.a Mambumbumbu FC hawawezi kushiriki Kagame, kombe la shirikisho na klabu bingwa kwa miaka miwili mfululizo, 2015 na 2016.
Kwani bro Danny umesahau na mwaka jana pia na mwaka juzi?
Hebu piga hesabu zako vizuri kisha uniambie Mikia wana miaka mingapi tokea wakose kushiriki kwenye mechi za kimataifa.
Mara ya mwisho walishiriki 2012 hapo Dar na Yanga kunyakua ubingwa wa Kagame Cup. Walikuwa mabingwa wa Tanzania Bara (TZB) mwaka 2011-2012, walipaswa kushiriki 2013 kama wawakilishi wa TZB huku Yanga wakiwa mabingwa watetezi, mashindano yalifanyika Sudan (Darfur) ambapo Serikali ilizuia timu za Tanzania zisishiriki kwa sababu za kiusalama hivyo Mikia hawakushiriki, mwaka 2014 hawakushiriki, 2015 hawashiriki na 2016 hawatashiriki kwa 100% kwa vile hawana sifa.
Mikia FC a.k.a Mchangani FC oyee!