Kagame Cup, Dar es Salaam-Tanzania 2015 Special thread!

ABUBAKARY SALUM SUREBOY. Kachaguliwa kuwa DSTV Man of the MATCH. NA KUPEWA KA ZAWADI KAKE KA DECORDER
 
Mods
Tafadhali fanyeni update ya matokeo page ya kwanza kama mlivyofanya kwa mechi za jana.
 
JE WAJUA? Simba a.k.a Mambumbumbu FC hawawezi kushiriki Kagame, kombe la shirikisho na klabu bingwa kwa miaka miwili mfululizo, 2015 na 2016.
 
Kwani bro Danny umesahau na mwaka jana pia na mwaka juzi?
Hebu piga hesabu zako vizuri kisha uniambie Mikia wana miaka mingapi tokea wakose kushiriki kwenye mechi za kimataifa.
 
Mara ya mwisho walishiriki 2012 hapo Dar na Yanga kunyakua ubingwa wa Kagame Cup. Walikuwa mabingwa wa Tanzania Bara (TZB) mwaka 2011-2012, walipaswa kushiriki 2013 kama wawakilishi wa TZB huku Yanga wakiwa mabingwa watetezi, mashindano yalifanyika Sudan (Darfur) ambapo Serikali ilizuia timu za Tanzania zisishiriki kwa sababu za kiusalama hivyo Mikia hawakushiriki, mwaka 2014 hawakushiriki, 2015 hawashiriki na 2016 hawatashiriki kwa 100% kwa vile hawana sifa.

Mikia FC a.k.a Mchangani FC oyee!
 
Hahahaaaaa... nashangaa Danny greeny anawapa mikia sifa ambazo hawastahili.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom