Kagame Cup, Dar es Salaam-Tanzania 2015 Special thread!

Hivi ilikuwaje Azam akashindwa hii tenda ya Kagame
 
Hivi ilikuwaje Azam akashindwa hii tenda ya Kagame
Nasikia walitakiwa kutoa mpunga mrefu wakashindwa ndio DSTV wakapewa baada ya kumwaga mpunga uliotakiwa.
 
Nasikia walitakiwa kutoa mpunga mrefu wakashindwa ndio DSTV wakapewa baada ya kumwaga mpunga uliotakiwa.

Wanavyotuaminisha na watu wnavyoshabikia kuwa wataanza onesha EPL na wako kwenye maongezj je wataweza toa dau kama wameshindwa Kagame tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…