lonewolf ranger
JF-Expert Member
- Feb 22, 2013
- 476
- 149
yanga ndala ndefu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yanga ndala ndefu
simba mikia tu!
mkuu mi sio simba
Hivi ilikuwaje Azam akashindwa hii tenda ya Kagame
Nasikia walitakiwa kutoa mpunga mrefu wakashindwa ndio DSTV wakapewa baada ya kumwaga mpunga uliotakiwa.Hivi ilikuwaje Azam akashindwa hii tenda ya Kagame
Wamezoea vya kunyonga, vya kuchinja hawawezi.
Nasikia walitakiwa kutoa mpunga mrefu wakashindwa ndio DSTV wakapewa baada ya kumwaga mpunga uliotakiwa.
Sasa inakuwaje anataka ligi ya EPL wakati hata Kagame kashindwa ambayo hela yake ni ndogo sana kuliko EPL na La Liga
Yanga 1 tel 0 yanga wamekosa pen dak 40