Kagame Cup, Dar es Salaam-Tanzania 2015 Special thread!

Kagame Cup, Dar es Salaam-Tanzania 2015 Special thread!

Amis Tambwe dakika ya 72 KMKM 0 - Yanga 2.
 
Mikia naskia imeenda kujificha zenji
 
Hawa keiemkeiem vipi nao wananiharibia siku hapa....!!
 
Pumbaf zao hawa TANESCO hawa...wamekataaaa
 
Back
Top Bottom