Javis Elias Balilemwa
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 489
- 67
Tambweeeeeeeeeee ,,hatare
Hizi mechi za Bonanza sHida tuPu...mtaani hatukai kwa raha.
Mikia naskia imeenda kujificha zenji
Hawa keiemkeiem vipi nao wananiharibia siku hapa....!!
Pumbaf zao hawa TANESCO hawa...wamekataaaa
Hizi mechi za Bonanza sHida tuPu...mtaani hatukai kwa raha.
Mida ya huzuni kwa mikia imewadia, hamtacheka hadi mtani jembe mtakapojaribu bahati yenu.
Pumbaf zao hawa TANESCO hawa...wamekataaaa
Tupeni matokeo wadau
Mpira haujeshaaaaaaaa yakheeee
Bado kidogooooo!