Watasawazisha tu
Me sijambo sana tu. Hongereni kwa kuingia robo fainali. Ila kwa azam sijui kama mtachomoka.
:smokin: Hawakusawazisha.Walisawazisha! 
Breki yenu azam.Gari letu YANGA limeshawaka, brake zetu ni kubeba kombe.
Hivyo walivyo visajili sio VIFAA kabisa bali ni vyuma chakavu.
Me sijambo sana tu. Hongereni kwa kuingia robo fainali. Ila kwa azam sijui kama mtachomoka.
Wewe subiri tu, halafu baada ya mechi tutafutane.Me sijambo sana tu. Hongereni kwa kuingia robo fainali. Ila kwa azam sijui kama mtachomoka.
Sawa...Wewe subiri tu, halafu baada ya mechi tutafutane.
Kesho naweza nikawa pamoja nanyi.Ulianza kushabikia Gor Mahia, ukashinda na ukakenua hadi kwenye avatar yako; ukashabikia Telecom, ukanuna; ukashabikia KMKM ukanuna vile vile; ukashabikia Khartoum National SC ukaendelea kununa; sasa hivi unaelekea kushabikia Azam, utanuna tena baada ya kesho. Jihurumie Mkuu, hadi lini utaendelea kubadilisha timu? Kubali kuishabikia Yanga, timu ya wananchi ili ukenue vizuri.
CC. Masuke - The Great Thinker and sembo - The Great Sinker.
Stewart keshatanguliza visingizio. Eti Yanga ina mashabiki wengi (hilo ni kweli) na inabebwa na marefa. Kwa hilo atafute lingine maana nina uhakika refa atatoka nje ya Tanzania.
Final score - Yanga 3:1 Azam
My prediction: Yanga 3-0 Azam.
Game SAA ngapi ya yanga na azam tujuzane wadau[/QUOTE]LEO SAID MOURAD ATAFANYA KAZI.