Kagame Cup, Dar es Salaam-Tanzania 2015 Special thread!

Kagame Cup, Dar es Salaam-Tanzania 2015 Special thread!

Hyo ndio YOUNG.............NINAANZA KUPATWA NA HOFU KM HILI TUFUNGE GOLI 1 YATUPASA TUTENGENEZE NAFASI ZAID YA 10.
 
Me sijambo sana tu. Hongereni kwa kuingia robo fainali. Ila kwa azam sijui kama mtachomoka.

Ulianza kushabikia Gor Mahia, ukashinda na ukakenua hadi kwenye avatar yako; ukashabikia Telecom, ukanuna; ukashabikia KMKM ukanuna vile vile; ukashabikia Khartoum National SC ukaendelea kununa; sasa hivi unaelekea kushabikia Azam, utanuna tena baada ya kesho. Jihurumie Mkuu, hadi lini utaendelea kubadilisha timu? Kubali kuishabikia Yanga, timu ya wananchi ili ukenue vizuri.

CC. Masuke - The Great Thinker and sembo - The Great Sinker.
 
Kesho naweza nikawa pamoja nanyi.
 
Stewart keshatanguliza visingizio. Eti Yanga ina mashabiki wengi (hilo ni kweli) na inabebwa na marefa. Kwa hilo atafute lingine maana nina uhakika refa atatoka nje ya Tanzania.

Final score - Yanga 3:1 Azam
 
Jamani mwenye link atuwekee siye tulio mbali.
 
AZAM STARTING LINE UP:

Aishi Manula, Shomari Kapombe, Paschal Wawa, Abdallah Salum, Aggrey Morris, Jean Mugiraneza, Frank Domayo, Farid Mussa, Himid Mao, John Bocco, Kipre Tcheche.

AZAM SUBSTITUTES:
Mwadini Ally, Kamagi Michael, Didier Kavumbagu, said morad, Mudathir Yahaya, Metacha Mnata, Ammy Ally

AZAM COACH:
Stewart Hall
 
Back
Top Bottom