Danny greeny
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 3,856
- 1,648
Kombe HALINA msisimko, mnyama hayupo! Yanga wanahaha kuofikia rekodi iliyowekwa miaka zaidi ya 10 imepita!
Huyu wawa huyu dah anatukosesha raha sana
Hakuna msimsimko sasa unakuja kufanya nini hapa, wa mchangani
ndio kazi yake..Huyu wawa huyu wawa yake kudadadeki. Anatunyima magoli bila yeye azam wangelala zamaaaani