Kagame Cup, Dar es Salaam-Tanzania 2015 Special thread!

Kagame Cup, Dar es Salaam-Tanzania 2015 Special thread!

hawa azam wanataka kuleta aibu jangwani hawa
 
Huyu wawa huyu wawa yake kudadadeki. Anatunyima magoli bila yeye azam wangelala zamaaaani
 
Goal Attempts | Yanga 5 Azam 5

Shorts on Target | Yanga 1 Azam 2

Fouls | Yanga 6 Azam 14

Yellow Cards | Yanga 0 Azam 2

Red Cards | Yanga 0 Azam 0

Corners | Yanga 5 Azam 0

Offsides | Yanga 1 Azam 1

Possession | Yanga 54% Azam 46%
 
Back
Top Bottom