Kagame Cup, Dar es Salaam-Tanzania 2015 Special thread!


Hehehehehehe mkuu usipanic mpira unadundaa mkuuu... Teh teh teh
 
Last edited by a moderator:
Nimesahau https://jamii.app/JFUserGuide https://jamii.app/JFUserGuide https://jamii.app/JFUserGuide U WAWA
 
Kuanzia leo hata nikisikiliza kipindi cha michezo au kutazama kwa tv nakuwa na amani,,,hawa jamàa walikuwa wanaleta maneno kuntu sana aiseee
 
Kocha kafanya makosa sana kumpa nafasi mchezaji mchanga kama yule ambaye haya ndio mashindano yake makubwa ya kwanza.

Usikute alionyesha uwezo mkubwa kwenye mazoezi best, mbona Mwashiuya kapiga vizuri tu wakati yeye ndo katokea huko sijui ligi daraja la pili.

Tukubali tu penati ni bahati bahati tu, mi siumiagi kivile timu yangu kutolewa kwa penati, tulipaswa kushinda ndani ya dk90 za mchezo lakini ndo hivy tena wenzetu nao walijiandaa vya kutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…