Kagame Cup, Dar es Salaam-Tanzania 2015 Special thread!

Timu bora!
Bidhaa bora!
Nipo Magomeni Mikumi, ........ Karibu sana!
 
Tangu mapema mlikuwa mnakosa penalties vp hamkupata wasaa kufanyia mazoezi upigaji pena au mlikuwa bze kwenye magazeti
 
Pluijm ashafukuzwa au bado?

Loh! Hatimaye mikia imepumua. Mashindano ya Kagame Cup 2015, Dar es Salaam, Tanzania yamehitimishwa kwa mchezo mkali kati ya Azam na Yanga ambapo Azam imeshinda kwa mikwaju ya penati.

Mechi zilizosalia ni Bonanza la Musonye 2015, Dar es Salaam, Tanzania. Hongereeni sana Azam FC, kwa moyo wa dhati kabisa na kwa dhamira njema tunawatakia kila la heri katika Bonanza hilo. Tafadhali jitahidini sana kupambana na KCCA, mkipenya hapo mtakutana na Khartoum National SC katika fainali, bila mikakati ya dhati tutashuhudia kombe la Bonanza likipandishwa kwenye ndege kuelekea Sudan.

Go go go Azam FC.
 
Mmekatwa na Mafuriko ya Azam. Rudini Mchangani sasa.
 
Sisi siyo wa mchangani, tunajiandaa na michuano ya Klabu Bingwa Afrika. Ninyi wa mchangani endeleeni kujipima nguvu na Bombambili FC, Zanzibar Combine etc.
 
Hongereni sana ndugu zetu wa Azam.. Nawatakia kila la kheri katika michuano hii.
 
Loh! Hatimaye mikia imepumua. Mashindano ya Kagame Cup 2015, Dar es Salaam, Tanzania yamehitimishwa kwa mchezo mkali kati ya Azam na Yanga ambapo Azam imeshinda kwa mikwaju ya penati.

Mechi zilizosalia ni Bonanza la Musonye 2015, Dar es Salaam, Tanzania. Hongereeni sana Azam FC, kwa moyo wa dhati kabisa na kwa dhamira njema tunawatakia kila la heri katika Bonanza hilo. Tafadhali jitahidini sana kupambana na KCCA, mkipenya hapo mtakutana na Khartoum National SC katika fainali, bila mikakati ya dhati tutashuhudia kombe la Bonanza likipandishwa kwenye ndege kuelekea Sudan.

Go go go Azam FC.

Hhahahahhahahahaha....Limekuwa bonanza baada ya kula kipondo

Yanga sio timu....Basi tu magazeti fc
 
Sisi siyo wa mchangani, tunajiandaa na michuano ya Klabu Bingwa Afrika. Ninyi wa mchangani endeleeni kujipima nguvu na Bombambili FC, Zanzibar Combine etc.

haahahahaha...na mechi ya kwanza tu mnatolewa

Yanga hakuna timu pale kuna porojo tu
 
Asante Mkuu Freeland kwa kutumia uhuru wako wa kuchangia mawazo katika jukwaa hili.

Hebu tuachane na habari za Yanga; vipi ile ndoa yako umeshafunga au bado?
 
Yanga kitu gani bwana hakuna lolote wachezaji wa 500M mnashindwa kuingia hata nusu fainal mnashindwa na team yenye kocha aliyekaa na wachezaji mwezi mmoja?

Uongozi wa mikia leo ulikuwepo kwenye ofisi za zfa kule zenj,kukumbeleza waanzishiwe ndondo cup,wamchanganu bhana!
 
Back
Top Bottom