Kagame Cup, Dar es Salaam-Tanzania 2015 Special thread!

Kagame Cup, Dar es Salaam-Tanzania 2015 Special thread!

Naitakia Azam Ushindi ili baadaye ije ikutane na Gormahia na kuitoa na ipate ubingwa wa kombe la Kagame. Kila la heri Azam FC.
 
Azam wanasubiri tuta nn..hii mbungi nahisi inaenda kwenye tuta wakuu
 
makoye matale naogopa sana! endapo wapinzani watapata goli sijui tu.. sijui itakuwaje

Ni Watanzania wenzetu, tuwaombee heri. Italkuwa aibu zaidi timu za nje kucheza fainali sisi tukibaki kuwa watazamaji.
 
Back
Top Bottom