Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pluijm ashafukuzwa au bado?
Loh! Hatimaye mikia imepumua. Mashindano ya Kagame Cup 2015, Dar es Salaam, Tanzania yamehitimishwa kwa mchezo mkali kati ya Azam na Yanga ambapo Azam imeshinda kwa mikwaju ya penati.
Mechi zilizosalia ni Bonanza la Musonye 2015, Dar es Salaam, Tanzania. Hongereeni sana Azam FC, kwa moyo wa dhati kabisa na kwa dhamira njema tunawatakia kila la heri katika Bonanza hilo. Tafadhali jitahidini sana kupambana na KCCA, mkipenya hapo mtakutana na Khartoum National SC katika fainali, bila mikakati ya dhati tutashuhudia kombe la Bonanza likipandishwa kwenye ndege kuelekea Sudan.
Go go go Azam FC.
Mmekatwa na Mafuriko ya Azam. Rudini Mchangani sasa.
Kwa hiyo Yanga naye kakatwa?
safi sana AZAM Fc kwa kutoa hao yebo yebo yenye usajili wa 500M
Loh! Hatimaye mikia imepumua. Mashindano ya Kagame Cup 2015, Dar es Salaam, Tanzania yamehitimishwa kwa mchezo mkali kati ya Azam na Yanga ambapo Azam imeshinda kwa mikwaju ya penati.
Mechi zilizosalia ni Bonanza la Musonye 2015, Dar es Salaam, Tanzania. Hongereeni sana Azam FC, kwa moyo wa dhati kabisa na kwa dhamira njema tunawatakia kila la heri katika Bonanza hilo. Tafadhali jitahidini sana kupambana na KCCA, mkipenya hapo mtakutana na Khartoum National SC katika fainali, bila mikakati ya dhati tutashuhudia kombe la Bonanza likipandishwa kwenye ndege kuelekea Sudan.
Go go go Azam FC.
Uongozi wa mikia leo ulikuwepo kwenye ofisi za zfa kule zenj,kukumbeleza waanzishiwe ndondo cup,wamchanganu bhana!
Sisi siyo wa mchangani, tunajiandaa na michuano ya Klabu Bingwa Afrika. Ninyi wa mchangani endeleeni kujipima nguvu na Bombambili FC, Zanzibar Combine etc.

haahahahaha...na mechi ya kwanza tu mnatolewa
Yanga hakuna timu pale kuna porojo tu
Uongozi wa mikia leo ulikuwepo kwenye ofisi za zfa kule zenj,kukumbeleza waanzishiwe ndondo cup,wamchanganu bhana!
Kwa nini ninyi huwa hampatagi mbeleko? Basi nanyi muwe mnapataga hizo mbeleko tuone kama mtafanya la maana!
Asante Mkuu Freeland kwa kutumia uhuru wako wa kuchangia mawazo katika jukwaa hili.
Hebu tuachane na habari za Yanga; vipi ile ndoa yako umeshafunga au bado?