pamoja sana Makoye Matale
Makoye Matale sana vp nani katawala mchezo?
Mpira ni kama 50-50, mipango ya timu zote kutafuta mabao ni hafifu. Lolote laweza kutokea.
makoye matale naogopa sana! endapo wapinzani watapata goli sijui tu.. sijui itakuwaje
+3mins.