Kagame Cup, Dar es Salaam-Tanzania 2015 Special thread!

Kagame Cup, Dar es Salaam-Tanzania 2015 Special thread!

86' | Yanga 1 Khartoum 0 |

Amisi tambwe 30' ( Yanga FC)
 
Na iwe kweli. Ni mapema sana kukutana na Azam. Azam inabidi tukutane nae na tumtoe nusu fainali ili akampe salamu wifi yake na shost mwenzie walieshibana Simba


Umenichekesha kweli mkuu kwa hii coment yako.
 
Mikia wataisoma sasa...mlete huyo Azam tumfunze mpira nae.
 
Kipindi cha pili Yanga wamecheza vizuri japo striking force haikuwa makini
 
mpira wa yanga bado sana

Wa Simba je?

Kama mpira wa Simba Ungelikuwa tayari, nadhani mwaka 2002 usingekuwa mwaka wa mwisho kwenu kuchukua ubingwa wa CECAFA Kagame Cup.
 
Simba mnaongea sasa uswahili mwingi mnajiita timu bora.timu bora ingechukua ubingwa na kagame ingecheza. Mtachonga sana lkn yanga ndo sisi na sisi ndo yanga.mbele daima nyima ni simba
 
Dakika 90 za leo zimekamirika na Timu ya wananchi YOUNG AFRICANS SC wameendeleza wimbi la ushindi na km nilivyohaid.
TUMEBAKIZA DAKIKA 270 KTK SAFARI YETU YA UBINGWA.
 
ubingwa wa kagame mtausikia tu mwaka huu nitarudi baada ya dk 120
 
Back
Top Bottom