Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wa Simba je?
Kama mpira wa Simba Ungelikuwa tayari, nadhani mwaka 2002 usingekuwa mwaka wa mwisho kwenu kuchukua ubingwa wa CECAFA Kagame Cup.
Kwani wa nani tayari? acha chuki binafsi na yanga.
Hamna chuki .. ni uchambuzi wangu tu wa mechi. Wangecheza vizuri ningewasifu sana
Mnacheza na Azam lini?
Hahahaaaaa Danny bwana!Na iwe kweli. Ni mapema sana kukutana na Azam. Azam inabidi tukutane nae na tumtoe nusu fainali ili akampe salamu wifi yake na shost mwenzie walieshibana Simba
Ombeni msikutane na Gor Mahia tena
hivi......hawa Yanga kwa nini wana tabia ya kuwaweka juu mashabiki hivi kwenye kila Kagame cup?
huwa wanaanzaga kwa kufungwa mechi za mwanzo lakini mwisho wanaishia kuchukua kombe. why Yanga why?
trend hii naona inajirudia mwaka huu....mweeee!
Heri yenu aisee, sisi kila mwaka tunajenga na kubomoa labda mwaka huu tutafanya finishing.Jumatano saa 10 jioni, ninasikitika kutangaza kuwa siku hiyo ndiyo mwisho wa safari ya Azam katika mashindano ya CECAFA Kagame Cup 2015 -Dar es Salaam, Tanzania. Tuonane tena miaka ijayo! RIP Azam FC, kamsalimie mikia fc popote pale alipo.
Namshukuru Mungu kwa kunijaalia kuziona siku hizi za huzuni za mikia fc, kukenua kwenu mtasubiri sana hadi Nani Mtani Jembe III mtakapojaribu bahati yenu!
Yanga oyeeee! Simba_ziiiii!.
Heri yenu aisee, sisi kila mwaka tunajenga na kubomoa labda mwaka huu tutafanya finishing.
Simba ilicheza leo?
Pole sana Mkuu. Msimu ujao lazima mtafanya wonders maana mmesajili vifaa hatari viz. Mwinyi Kazimoto na Mussa Hassan Mgosi.
Heri yenu aisee, sisi kila mwaka tunajenga na kubomoa labda mwaka huu tutafanya finishing.
Viongozi wetu wanatuangusha sana, Singano na Okwi ndo walikuwa roho ya timu msimu uliopita halafu wote wameondoka kwa maana hiyo msimu huu ni kuanza upya tena.True Great Thinker. Salute Mkuu Masuke kwa wenye akili watakuwa wamekuelewa kuwa wewe ni mwanamichezo haswa.