Kagame Cup, Dar es Salaam-Tanzania 2015 Special thread!

Kagame Cup, Dar es Salaam-Tanzania 2015 Special thread!

Yanga nao wangefanya mabadiliko, atoke kaseke aingie msuva, halafu tena busungu badala ya tambwe
 
Tambwe anafit sana kucheza na Msuva, aingie Msuva na Busungu
 
Azam bhana wanachekesha, kwani inawachukua dk ngapi kumkalisha Yanga? nashangaa mpaka sasa hawajaamua kufunga magoli, dah! ndo tatizo la kumuonea huruma jirani yako, inaweza ikawagharimu kwa leo!
 
Back
Top Bottom