Kagame Cup, Dar es Salaam-Tanzania 2015 Special thread!

Kagame Cup, Dar es Salaam-Tanzania 2015 Special thread!

Hureeeeeee shost yake mikia hureeeeeeeee hureeeeeee shoga yake Simba Bingwa mpya wa Kagame Cup hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Mwana Yanga mimi,but i'm so happy kutoka uvungu wa moyo wangu,safi sana wazee wa sembe,manake hawa gormahia walitaka kujifanya invisible!
 
Bora nimeona mpira sio viinimacho huyo wawa ni balaaa manua alikuwa analamba tu BALL ICECREAM
 
Bora nimeona mpira sio viinimacho huyo wawa ni balaaa manua alikuwa analamba tu BALL ICECREAM

Huyu wawa ukanda huu sio saizi yake, Azam "wanazi-cheat" timu za ukanda huu, angalau aende kucheza south!
 
Back
Top Bottom