Kagame dropped Kenya from SGR deal

Kagame dropped Kenya from SGR deal

Rwanda going Tanzania option was entirely expected and it has nothing to do with Kenya, Uganda looks at the bigger market at the North
 
I assure you even Uganda will connect to central corridor! Think of this in next 5-10 years Hoima will be sprawling big city with most oil related import n exports having terminating at or originating from the oil city Kabale! With their oil Pipeline terminating at Tanga!

Unless u r so stupid to not spot oil economics and GoT attempt to revamp her wagon ships in Lake Victoria plus the Port Bell port current U/C meaning Hoima will be connected to Isaka via SGR while Kampala via Lake Victoria, then u will need the grace of Good.

BTW as an addition, the most important unforeseen factor is the shift of capital city from Dar to Dom bringing GoT even closer to great lakes countries. Kenya should count a very painful economic loss of business destined to the great lakes. Time will tell.
 
Hii ya sasa ni tofauti na hiyo,mzee kachoma mafuta mpaka Dar kwa suala moja tu
Mzee alichoma mafuta mpaka Dar kutafuta kura ya Tanzania mengine yalikuwa ya ziada. We have long way to go kwani hiyo reli ya standard gauge haijafika hata Morogoro it's too early kufikiri kujenga reli kutoka Isaka- Kigali
 
Naona unanibeep, nimekua busy sana na maripoti...
Ninachosema hapo kwamba sio mara ya kwanza kuona taarifa za 'Rwanda dropped Kenya SGR', michezo yenu ya kutekenyana na Kagame na kuchekeana naye tumeshazoea sasa. Kwanza kuna siku mlimpa aongoze shughui nzima ya hiyo reli, tukaburuzana humu JF halafu taratibu kama ilivyo taarifa za miundo mbinu Bongo, mkapiga kimyaaa, leo mumeibuka tena, amekuja mumechekeana na kupeana ahadi ahadi na vijimambooooo!!!

Ndio mimi ikabidi niwape ushauri, muwache kutapatapa mfanye hima walau mkamilishe hata mradi mmoja, hako kasafu ka Dar-Moro huwa sijui mnakawazia nini maana hata zege hamjaanza kukoroga. Hivi unajua Mkulu Magu ameabakia na mwaka mmoja na miezi kabla aje kuomba kura tena, au mumeghubikwa na PR nyingi mpaka mumesahau siku zinaenda. Mumshauri akamilishe walau mradi mmoja hadi mwisho, nakumbuka wakati wa kampeni rais Uhuru alikamilisha SGR na akasafiri nayo tokea Mombasa hadi Nairobi, nyie mkulu hivi karibuni ataanza kuomba kura, sijui atatumia nini.

Japo Bongo ilmradi umechaguliwa na CCM, huna haja ya kuonyesha mafanikio, wewe piga pushup tu kampeni ziishe halafu unachaguliwa.
hehehe,hii taarifa najua ameipata vilivyo japo welewa wa hawa maccm niwa ajabu ajabu🙄
 
Mzee alichoma mafuta mpaka Dar kutafuta kura ya Tanzania mengine yalikuwa ya ziada. We have long way to go kwani hiyo reli ya standard gauge haijafika hata Morogoro it's too early kufikiri kujenga reli kutoka Isaka- Kigali
Yaani unazungumza kama mtoto wa chekechea, hata hutaki kufuatili jinsi ujenzi wa hii reli jinsi unavyofanyika na time frame yake ilivyo, kama hufahamu vizuri ni vyema na busara ukauliza kwanza.
 
Naona unanibeep, nimekua busy sana na maripoti...
Ninachosema hapo kwamba sio mara ya kwanza kuona taarifa za 'Rwanda dropped Kenya SGR', michezo yenu ya kutekenyana na Kagame na kuchekeana naye tumeshazoea sasa. Kwanza kuna siku mlimpa aongoze shughui nzima ya hiyo reli, tukaburuzana humu JF halafu taratibu kama ilivyo taarifa za miundo mbinu Bongo, mkapiga kimyaaa, leo mumeibuka tena, amekuja mumechekeana na kupeana ahadi ahadi na vijimambooooo!!!

Ndio mimi ikabidi niwape ushauri, muwache kutapatapa mfanye hima walau mkamilishe hata mradi mmoja, hako kasafu ka Dar-Moro huwa sijui mnakawazia nini maana hata zege hamjaanza kukoroga. Hivi unajua Mkulu Magu ameabakia na mwaka mmoja na miezi kabla aje kuomba kura tena, au mumeghubikwa na PR nyingi mpaka mumesahau siku zinaenda. Mumshauri akamilishe walau mradi mmoja hadi mwisho, nakumbuka wakati wa kampeni rais Uhuru alikamilisha SGR na akasafiri nayo tokea Mombasa hadi Nairobi, nyie mkulu hivi karibuni ataanza kuomba kura, sijui atatumia nini.

Japo Bongo ilmradi umechaguliwa na CCM, huna haja ya kuonyesha mafanikio, wewe piga pushup tu kampeni ziishe halafu unachaguliwa.
Mzee baba punguza maneno, nionyeshe tu sehemu inaonyesha rwanda wakidrop tz sgr! Swala liko hapo.

Baada ya hapo tutafungua uzi mtupe updates za CoW
 
I assure you even Uganda will connect to central corridor! Think of this in next 5-10 years Hoima will be sprawling big city with most oil related import n exports having terminating at or originating from the oil city Kabale! With their oil Pipeline terminating at Tanga!

Unless u r so stupid to not spot oil economics and GoT attempt to revamp her wagon ships in Lake Victoria plus the Port Bell port current U/C meaning Hoima will be connected to Isaka via SGR while Kampala via Lake Victoria, then u will need the grace of Good.

BTW as an addition, the most important unforeseen factor is the shift of capital city from Dar to Dom bringing GoT even closer to great lakes countries. Kenya should count a very painful economic loss of business destined to the great lakes. Time will tell.
Uganda is surely not waiting for rail that only four kilometers are done vs 600+
 
Kwenye battle ya bomba la mafuta,nilipenda hiki kilio cha wakenya[emoji116]

Kenye inahesabu imeporwa na Tanzania mradi huo
 
Which four kilometers? I'm yet to see pics showing even 1cm is done there
loser...I told u people the moment u refused to connect Lokichar to Hoima as a regional project, Museveni is to fix ur greedy! Now u have to choose btn Uganda that wants to connect to South Sudan first n South Sudan.
 
Ni kweli kwamba generically SGR ni vipimo kati ya rail na rail, lakini kwa sasa SGR inatumika kumaanisha modern, electrical, faster, high capacity and comfortable trains, less than that, inapoteza maana kamili ya SGR
kwa Wakenya wazee wa misifa hata mabehewa yakikokotwa na punda bado wataiita SGR since the gauge meets set specifics. Ni ujinga wa Hali ya juu ee Mungu epusha Watanzania na ulimbukeni huu!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kuna SGR Fulani huku EAC imezinduliwa Mara si haba na fununu za kukisia yajengwe tukazisikia mara dufu. Ila picha ya reli yenyewe na taarifa ya kilomita zilizojengwa hadi sasa ni paukwa pakawa tu, Lo!

Hivi huwa unaakili za kuvuka barabara tu? Phase 2 pia tumeshaanza kwa taarifa yako
24296332_2060129914206319_3879976130779574657_n.jpg
24174363_2059323007620343_2152305332250450291_n.jpg
Screenshot_20180119-114203.png
Naona unanibeep, nimekua busy sana na maripoti...
Ninachosema hapo kwamba sio mara ya kwanza kuona taarifa za 'Rwanda dropped Kenya SGR', michezo yenu ya kutekenyana na Kagame na kuchekeana naye tumeshazoea sasa. Kwanza kuna siku mlimpa aongoze shughui nzima ya hiyo reli, tukaburuzana humu JF halafu taratibu kama ilivyo taarifa za miundo mbinu Bongo, mkapiga kimyaaa, leo mumeibuka tena, amekuja mumechekeana na kupeana ahadi ahadi na vijimambooooo!!!

Ndio mimi ikabidi niwape ushauri, muwache kutapatapa mfanye hima walau mkamilishe hata mradi mmoja, hako kasafu ka Dar-Moro huwa sijui mnakawazia nini maana hata zege hamjaanza kukoroga. Hivi unajua Mkulu Magu ameabakia na mwaka mmoja na miezi kabla aje kuomba kura tena, au mumeghubikwa na PR nyingi mpaka mumesahau siku zinaenda. Mumshauri akamilishe walau mradi mmoja hadi mwisho, nakumbuka wakati wa kampeni rais Uhuru alikamilisha SGR na akasafiri nayo tokea Mombasa hadi Nairobi, nyie mkulu hivi karibuni ataanza kuomba kura, sijui atatumia nini.

Japo Bongo ilmradi umechaguliwa na CCM, huna haja ya kuonyesha mafanikio, wewe piga pushup tu kampeni ziishe halafu unachaguliwa.
 
Attachments

hawa jamaa wanafikiri ujenzi ni matangazo. sisi tunajenga reli yetu bila kelele. tunafanya MAMBO kimya kimya kama tulivyonyakua bomba la mafuta, ambalo nao baadaye wataunga bomba lao la kutoka lokichar ili mafuta yao yapitie Tanga.
 
Back
Top Bottom