Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I assure you even Uganda will connect to central corridor! Think of this in next 5-10 years Hoima will be sprawling big city with most oil related import n exports having terminating at or originating from the oil city Kabale! With their oil Pipeline terminating at Tanga!Rwanda going Tanzania option was entirely expected and it has nothing to do with Kenya, Uganda looks at the bigger market at the North
Mzee alichoma mafuta mpaka Dar kutafuta kura ya Tanzania mengine yalikuwa ya ziada. We have long way to go kwani hiyo reli ya standard gauge haijafika hata Morogoro it's too early kufikiri kujenga reli kutoka Isaka- KigaliHii ya sasa ni tofauti na hiyo,mzee kachoma mafuta mpaka Dar kwa suala moja tu
hehehe,hii taarifa najua ameipata vilivyo japo welewa wa hawa maccm niwa ajabu ajabu🙄Naona unanibeep, nimekua busy sana na maripoti...
Ninachosema hapo kwamba sio mara ya kwanza kuona taarifa za 'Rwanda dropped Kenya SGR', michezo yenu ya kutekenyana na Kagame na kuchekeana naye tumeshazoea sasa. Kwanza kuna siku mlimpa aongoze shughui nzima ya hiyo reli, tukaburuzana humu JF halafu taratibu kama ilivyo taarifa za miundo mbinu Bongo, mkapiga kimyaaa, leo mumeibuka tena, amekuja mumechekeana na kupeana ahadi ahadi na vijimambooooo!!!
Ndio mimi ikabidi niwape ushauri, muwache kutapatapa mfanye hima walau mkamilishe hata mradi mmoja, hako kasafu ka Dar-Moro huwa sijui mnakawazia nini maana hata zege hamjaanza kukoroga. Hivi unajua Mkulu Magu ameabakia na mwaka mmoja na miezi kabla aje kuomba kura tena, au mumeghubikwa na PR nyingi mpaka mumesahau siku zinaenda. Mumshauri akamilishe walau mradi mmoja hadi mwisho, nakumbuka wakati wa kampeni rais Uhuru alikamilisha SGR na akasafiri nayo tokea Mombasa hadi Nairobi, nyie mkulu hivi karibuni ataanza kuomba kura, sijui atatumia nini.
Japo Bongo ilmradi umechaguliwa na CCM, huna haja ya kuonyesha mafanikio, wewe piga pushup tu kampeni ziishe halafu unachaguliwa.
Yaani unazungumza kama mtoto wa chekechea, hata hutaki kufuatili jinsi ujenzi wa hii reli jinsi unavyofanyika na time frame yake ilivyo, kama hufahamu vizuri ni vyema na busara ukauliza kwanza.Mzee alichoma mafuta mpaka Dar kutafuta kura ya Tanzania mengine yalikuwa ya ziada. We have long way to go kwani hiyo reli ya standard gauge haijafika hata Morogoro it's too early kufikiri kujenga reli kutoka Isaka- Kigali
Mzee baba punguza maneno, nionyeshe tu sehemu inaonyesha rwanda wakidrop tz sgr! Swala liko hapo.Naona unanibeep, nimekua busy sana na maripoti...
Ninachosema hapo kwamba sio mara ya kwanza kuona taarifa za 'Rwanda dropped Kenya SGR', michezo yenu ya kutekenyana na Kagame na kuchekeana naye tumeshazoea sasa. Kwanza kuna siku mlimpa aongoze shughui nzima ya hiyo reli, tukaburuzana humu JF halafu taratibu kama ilivyo taarifa za miundo mbinu Bongo, mkapiga kimyaaa, leo mumeibuka tena, amekuja mumechekeana na kupeana ahadi ahadi na vijimambooooo!!!
Ndio mimi ikabidi niwape ushauri, muwache kutapatapa mfanye hima walau mkamilishe hata mradi mmoja, hako kasafu ka Dar-Moro huwa sijui mnakawazia nini maana hata zege hamjaanza kukoroga. Hivi unajua Mkulu Magu ameabakia na mwaka mmoja na miezi kabla aje kuomba kura tena, au mumeghubikwa na PR nyingi mpaka mumesahau siku zinaenda. Mumshauri akamilishe walau mradi mmoja hadi mwisho, nakumbuka wakati wa kampeni rais Uhuru alikamilisha SGR na akasafiri nayo tokea Mombasa hadi Nairobi, nyie mkulu hivi karibuni ataanza kuomba kura, sijui atatumia nini.
Japo Bongo ilmradi umechaguliwa na CCM, huna haja ya kuonyesha mafanikio, wewe piga pushup tu kampeni ziishe halafu unachaguliwa.
Uganda is surely not waiting for rail that only four kilometers are done vs 600+I assure you even Uganda will connect to central corridor! Think of this in next 5-10 years Hoima will be sprawling big city with most oil related import n exports having terminating at or originating from the oil city Kabale! With their oil Pipeline terminating at Tanga!
Unless u r so stupid to not spot oil economics and GoT attempt to revamp her wagon ships in Lake Victoria plus the Port Bell port current U/C meaning Hoima will be connected to Isaka via SGR while Kampala via Lake Victoria, then u will need the grace of Good.
BTW as an addition, the most important unforeseen factor is the shift of capital city from Dar to Dom bringing GoT even closer to great lakes countries. Kenya should count a very painful economic loss of business destined to the great lakes. Time will tell.
Which four kilometers? I'm yet to see pics showing even 1cm is done thereUganda is surely not waiting for rail that only four kilometers are done vs 600+
can we see those four km priss😀😀😀Uganda is surely not waiting for rail that only four kilometers are done vs 600+
loser...I told u people the moment u refused to connect Lokichar to Hoima as a regional project, Museveni is to fix ur greedy! Now u have to choose btn Uganda that wants to connect to South Sudan first n South Sudan.Which four kilometers? I'm yet to see pics showing even 1cm is done there
kwa Wakenya wazee wa misifa hata mabehewa yakikokotwa na punda bado wataiita SGR since the gauge meets set specifics. Ni ujinga wa Hali ya juu ee Mungu epusha Watanzania na ulimbukeni huu!Ni kweli kwamba generically SGR ni vipimo kati ya rail na rail, lakini kwa sasa SGR inatumika kumaanisha modern, electrical, faster, high capacity and comfortable trains, less than that, inapoteza maana kamili ya SGR
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]kwa Wakenya wazee wa misifa hata mabehewa yakikokotwa na punda bado wataiita SGR since the gauge meets set specifics. Ni ujinga wa Hali ya juu ee Mungu epusha Watanzania na ulimbukeni huu!
If you have passport you can come and have a look, but only if you have passport, not ID please.can we see those four km priss😀😀😀
Kuna SGR Fulani huku EAC imezinduliwa Mara si haba na fununu za kukisia yajengwe tukazisikia mara dufu. Ila picha ya reli yenyewe na taarifa ya kilomita zilizojengwa hadi sasa ni paukwa pakawa tu, Lo!
Naona unanibeep, nimekua busy sana na maripoti...