Marie Antoinette
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 426
- 412
Goma ipo mikononi mwa M23(au Rwanda kama inavyosemekana). Msafara wa vifaru ulikuwa ukielekea Bukavu; ila tangazo lililotolewa na M23, ni kwamba kuanzia tarehe 4 February, wamesitisha mapigano kuangalia kwanza maswala ya misaada kwa binadamu. Lakini, wakichokozwa, watajibu mapigo. La ziada ni wanawake waliokataa kuhama zilipokuwa kambi, kwa hofu ya kubakwa. Wanasema bora wabaki huko huko walipo na wana uhakika wa usalama, yaliyokuwa yakiwakuta yasije yakajirudia. Wameshaathirika kisaikolojiaUpdate ikoje Goma imekombolewa au Bado M23 wanaumiliki?
Umepotosha, hakusema hivyo. Kasema hajui kama wanajeshi wake wapo huko au hawapo, yaani hajui kitu kuhusu location ya jeshi lakeRais wa Rwanda, Paul Kagame amesema hafahamu kama wanajeshi wa nchi yake wako Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), ambako mapigano kati ya kundi la waasi la M23 na wanajeshi wa Congo yanaendelea.
Sehemu kubwa ya Jumuiya ya Kimataifa inaamini kwamba Rwanda inaunga mkono waasi wa M23, ambao walidai kuuteka mji wa Goma Mashariki mwa Congo wiki iliyopita.
Wataalamu wa Umoja wa Mataifa wanaamini kuwa takriban wanajeshi wa Rwanda 3,000 hadi 4,000 wanawasaidia wapiganaji wa M23 Mashariki mwa DRC, huku wakiwazidi idadi waasi hao.
Boss wa ubber tu ajua gari lake liko wapi daahUmepotosha, hakusema hivyo. Kasema hajui kama wanajeshi wake wapo huko au hawapo, yaani hajui kitu kuhusu location ya jeshi lake
Mpuuzi kweli. Kifanywe kitu kwa huyu na nwenzie wa Uganda.Kagame bogus kabisa.
Tuliza Monkari.Jana nimepata mshtuko WA gafla NKAONA nkaagixe barcadi ninywe
Kiukweli ?23 n Rwanda na in WANAJUA na wametoa ripoti yao
Hawa ma bwana wametuulia WANAJESHI WETU watiifu
Wamaua WANAJESHI WA south Africa 20
uhai haujawahii kuuzwa ama kurudishwa
Wale WANAJESHI Wana familia zilikuwa zinawategemea
Sasaa Jana nimeshtuka kusiskia eti. RAISI kagamae na RAISI WA congo wamekubali kuja kutatua mzozo WA DRC
Hivi inaingia akilini unatuulia WANAJESHI WETU alafu uje kwenye nchi yetu tukufu
Rwanda wanapata nguvu ipi kuingia congo
Na sheria zipi zinawatuhusu kuingia congo
Mnaposema wanakuja kusuluhishwa wanasuluhishwa vipi
Hawa WANAHITAJI kichapoo wasafishike kama hamas watudi walipotokea
Hawa n magaidii WA EAC hawatakiwi HATA robo kuendelea kuwa DUNIAN wakiwa pale congoo
USHAURI tu sijui wanasuluhishwa n. Ila kama ikimpendeza Mungu mama Yetu waende Kenya ama Uganda wasikanyage kabisa Tanzania
Kama n WIZI WA madini ripoti ya UN Iko wazi
Tunasuluhishaje WEZI wanavamia nchi za watuuuu
Ni matumaini Yangu na maombi Yangu kwa Mungu huyoo Bwana WA M23 aambiwe yokaaa congo else kichapoo kinakusogelea
Msitoe HATA nusu dk kuongea naeee YAAN kanyaga gusa tukutane kwako simple
Kila la kheri congo yetu
Kati ya tolu na Mashavu nani abakieš¤ š¤Mi nadhani waje tu,ila kuondoka aondoke mmoja,mwingine tumbakishe.
Tubaki na wajina wanguKati ya tolu na Mashavu nani abakieš¤ š¤
Tolu anafanya watu wembamba waonekane Wana roho mbaya sana kitu ambacho sio kweli....jamaa ni mkorofi....tunam miss mzee wa msoga...shuguli kama hii ndo ingemfaa kumrudisha tolu kwny mstariTubaki na wajina wangu
Mpaka najuta kutumia hili jina humuTolu anafanya watu wembamba waonekane Wana roho mbaya sana kitu ambacho sio kweli....jamaa ni mkorofi....tunam miss mzee wa msoga...shuguli kama hii ndo ingemfaa kumrudisha tolu kwny mstari
Mpaka najuta kutumia hili jina humu
sasa kimaana ina tofaut ganUmepotosha, hakusema hivyo. Kasema hajui kama wanajeshi wake wapo huko au hawapo, yaani hajui kitu kuhusu location ya jeshi lake