Kagame na Uhuru watunukiwa kama viongozi bora Afrika na Mashariki ya Kati

Lakini si kuna kipindi hata na JK alipewa uprofessa na Wachina, mbona hatukumfuata na mitusi kama hii yenu. Mtakoma tu raundi hii.
mimi sijaona matusi..naona watz na wakn kama mapacha wanagombea ziwa.
 
Lakini si kuna kipindi hata na JK alipewa uprofessa na Wachina, mbona hatukumfuata na mitusi kama hii yenu. Mtakoma tu raundi hii.
Huyu jamaa alipewa uprofessa kwa kuchakachua meno ya tembo kuyaweka kwa ndege yake na kuwapelekkea wachina. mchina kamvisha vazi leusi kumzengua tu, ni lini sisi waafrika tutajinasua toka kwa utumwa wa akili jamani..pili unatarajia vipi JK aapatiwe tuzo la uongozi bora ikiwa yeye mwenyewe hajui sababu za kuporomoka kwa thamani ya TZ shillings kiasi cha kukejeliwa na wananchi wake.Kenya mambo yapo tofauti na tumeridhika pakubwa na utendaji kazi wa serikali yetu
 
Wacha kuropokwa president ni mkikuyu taja mkikuyu mwingine mkuu kwa serikali ya kenya,and for ur information mimi sio mjaluo,huo mdomo wako jamaa utakufanya ubaki maskini maishani mwako,fanya kazi yako acha kuchunguza serikali ya kenya am sure hajampata mkenya hapa akiingilia serikali ya tz kama mnavyofanya wa tz and am sure most of you live hand to mouth life
 
kama uhunye anavuta bangi na kunywa chang'a kama wewe mjuaji ulivyo sema naeza mshauli aendelee maana jinsi anavyo fanya kazi yake huyu anastahili kupewa tuzo ata la the best in africa,tanzania kupata rais kama huyu ni ndoto
 
:bange: :car:
 
Hujajibu hayo maswari ni yawakenya wenzie, ww umesema watanzania walitaka kenyatto aende akapigane vita na alshbb mwenyewe, nimekuuliza wakenya nao walitaka kenyatto aende akapigane West gate mwenyewe
 
Alaaaah! Kumbe wewe ni miongoni mwa ile jamii iliyoongozwa na jomo Kenyatta ambayo ni Pioneers of Tribalism in Kenya..?
 
Middle East si madikteta wote? Kuna demokrasia middle east?
 
Lakini si kuna kipindi hata na JK alipewa uprofessa na Wachina, mbona hatukumfuata na mitusi kama hii yenu. Mtakoma tu raundi hii.

Tukome kwa lipi hasa?
 
Hujajibu hayo maswari ni yawakenya wenzie, ww umesema watanzania walitaka kenyatto aende akapigane vita na alshbb mwenyewe, nimekuuliza wakenya nao walitaka kenyatto aende akapigane West gate mwenyewe

jibu ni wakenya wanahaki ya ikumwambia rais matatizo yao maana wao ndio walio mchagua lakini,tunaona jinsi nyinyi watz mlivyo hangaika mpaka kujiunga na alshabaab simply hamna freedom of speech
 
Middle East si madikteta wote? Kuna demokrasia middle east?

Tangu lini Mashariki ya kati kuwe na Demokrasia...?
Eneo lao ndilo linaoongoza kwa machafuko.

Wameamua kutafuta umaarufu kwa kuwapa tuzo MAGENOCIDERS....!
 
Alaaaah! Kumbe wewe ni miongoni mwa ile jamii iliyoongozwa na jomo Kenyatta ambayo ni Pioneers of Tribalism in Kenya..?

ur still thinking about my tribe really,is it that u have nothing to do or think about??ur the ovious lazy bones of tanzania,hata kwa ngono mko chini mpaka mabibi zenu wanakuja kenya kutafuta watoto,
 
Tangu lini Mashariki ya kati kuwe na Demokrasia...?
Eneo lao ndilo linaoongoza kwa machafuko.

Wameamua kutafuta umaarufu kwa kuwapa tuzo MAGENOCIDERS....!

Afrika haihitaji demokrasia maana imejaa wavivu kama nyie, lazima muburuzwe kwa pua ndio mtende.

Kingereza kiliwakataa nyie kweli, wapi umeona demokrasia imetajwa hapo. Hamna cha udemokrasia wala nini hapa Afrika, hata Bongo ndio kabisa hamna lolote, kwanza naona hampo makini mkipost, hivi mnakumbuka ile sheria ambayo imewabana hadi jinsi mnafaa kunyaa.
 
ur still thinking about my tribe really,is it that u have nothing to do or think about??ur the ovious lazy bones of tanzania,hata kwa ngono mko chini mpaka mabibi zenu wanakuja kenya kutafuta watoto,

Pwahahaha!!
 
Nilitoka kumwambia mwenzako muda si mrefu kwamba hao Mabibi ni zawadi kwenu...!

Tena haswa kwenu nyinyi WAKIKUYU ambao mmechoka na ile kauli ya Kenyan Mamaz wanayosema "UKIMALIZA NIFUNIKE".
 
wamejitolea wenyewe waume tanzania hamjielewi,wacha waingie nairobi wanipate waelewe what it feels like to be laid by a kenyan man,i hope bibi yako mmoja wao
 
Afrika haihitaji demokrasia,
wapi umeona demokrasia imetajwa hapo. Hamna cha udemokrasia wala nini hapa Afrika, hata Bongo ndio kabisa hamna lolote.

Kumbe unajua dhahiri kwamba Africa hakuna Demokrasia...!

Sasa uliwashwa na nini hadi ukaja na ripoti yako... eti ohh Kenyatta na Kagame wamepewa tuzo za utawala bora...?

"Pasi na Demokrasia, Hakuna utawala bora! "
 
Inategemea na uwezo wa uelewa wako, utawala ni uongozi, na kuna aina nyingi za uongozi na vigezo pia. Kama ninavyomfahamu Uhuru ama Kagame, ikija kwenye masuala ya demokrasia hawapo, lakini kwa utendaji wanakubalika. Rwanda kainchi kadogo lakini kameinyima Tanzania usingizi kila siku. Kenya kainchi kadogo lakini rais wake ndani ya miaka miwili amefaulu kufanikisha mengi ambayo Tanzania imeshindwa ndani ya zaidi ya miaka kumi.

Afrika mambo ya demokrasia tusubiri kwanza, hebu Wabongo muache kupoteza muda mwingi vijiweni mkijadili demokrasia na muanze utendaji.
 
jibu ni wakenya wanahaki ya ikumwambia rais matatizo yao maana wao ndio walio mchagua lakini,tunaona jinsi nyinyi watz mlivyo hangaika mpaka kujiunga na alshabaab simply hamna freedom of speech
Eah kumbe wacha nikuache bwana
 
ur still thinking about my tribe really,is it that u have nothing to do or think about??ur the ovious lazy bones of tanzania,hata kwa ngono mko chini mpaka mabibi zenu wanakuja kenya kutafuta watoto,
He! ngono nayosifa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…