kmbwembwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 10,892
- 7,780
mimi sijaona matusi..naona watz na wakn kama mapacha wanagombea ziwa.Lakini si kuna kipindi hata na JK alipewa uprofessa na Wachina, mbona hatukumfuata na mitusi kama hii yenu. Mtakoma tu raundi hii.