Kagame na Uhuru watunukiwa kama viongozi bora Afrika na Mashariki ya Kati

Kagame na Uhuru watunukiwa kama viongozi bora Afrika na Mashariki ya Kati

Afrika haihitaji demokrasia maana imejaa wavivu kama nyie, lazima muburuzwe kwa pua ndio mtende.Kingereza kiliwakataa nyie kweli, wapi umeona demokrasia imetajwa hapo. Hamna cha udemokrasia wala nini hapa Afrika, hata Bongo ndio kabisa hamna lolote, kwanza naona hampo makini mkipost, hivi mnakumbuka ile sheria ambayo imewabana hadi jinsi mnafaa kunyaa.
Hakuna demokrasia et!! vizuri sheria ile haina lolote na wala haipo ktk vichwavyetu, tunakamaua live hakuna la sheria hapa ongelea mengine kenyatta kupewa tuzo lipi kafanya upuzi tu
 
Nilitoka kumwambia mwenzako muda si mrefu kwamba hao Mabibi ni zawadi kwenu...! Tena haswa kwenu nyinyi WAKIKUYU ambao mmechoka na ile kauli ya Kenyan Mamaz wanayosema "UKIMALIZA NIFUNIKE".
Du! umelala na gogo!!
 
Inategemea na uwezo wa uelewa wako, utawala ni uongozi, na kuna aina nyingi za uongozi na vigezo pia. Kama ninavyomfahamu Uhuru ama Kagame, ikija kwenye masuala ya demokrasia hawapo, lakini kwa utendaji wanakubalika. Rwanda kainchi kadogo lakini kameinyima Tanzania usingizi kila siku. Kenya kainchi kadogo lakini rais wake ndani ya miaka miwili amefaulu kufanikisha mengi ambayo Tanzania imeshindwa ndani ya zaidi ya miaka kumi.Afrika mambo ya demokrasia tusubiri kwanza, hebu Wabongo muache kupoteza muda mwingi vijiweni mkijadili demokrasia na muanze utendaji.
Haaa! Rwanda anatunyima usingizi sie kivipi? unajua usidharau ukapindukia rwanda!!! Vituko ungelea mada hapo tuache hayo
 
12.jpg

President Uhuru Kenyatta and Devolution CS Anne Waiguru are this year's recipient of the Middle East Africa Awards.


The award is presented by the Middle East Africa awards and investment roundtable which was established to foster relationships between Middle East and Africa region.

Waiguru has won the prestigious good governance award for her distinguished work in devolution in the country.

This year, eleven awards including recognition awards under three broad categories covering individual, corporate and public sector awards were bestowed on deserving winners.

"The Ministry of Devolution has midwifed devolution thus this far and in its continued support to county governments, ultimately promoting and fostering trade and investment opportunities' and presented a unique governance model that would easily be replicated by other African countries," read a citation on Waiguru's recognition for the award.

"It is for this reason that we would like to recognize the efforts of the youthful and phenomenal woman leader who is the Cabinet Secretary of the Devolution Ministry, Madam Anne Waiguru.

This provides a unique opportunity to also appreciate African Women's contribution towards Good Governance, Trade, Investment and sustainable development on the international platform," the statement said.

Waiguru, flanked by other senior ministry officials told the press at a Nairobi hotel on Friday that her success in the ministry was based on taking her work seriously and doing it with a lot of dedication.

She said that she doesn't tolerate mediocrity in her work and advised people who would like to succeed to go a mile further than the normal calling they have for their work.

The award categories included MEAFRIC Business leader of the year, Man of the year, Woman of the year, Dynamic woman entrepreneur of the year, Excellence in business award, Woman entrepreneur of the year, Young business leader of the year, Bank of the year, Indigenous Investor of the year, Innovative Product of the year and Governance awards.

The MEAFRIC Investment Roundtable with the theme "Fostering and Economic Opportunities" was held on the 7th and 8th of May 2015 at Dubai in the United Arab Emirates.

Other recipients were Rwanda's President Paul Kagame, Alhaji Aliko Dangote, Isabel dos Santos, Juma Al Majid, Folorunso Alakija, Patrice Tlhopane Motsepe, Deziani Madueke, Farida Bedwei and the Arab Bank of Jordan.



Source: The Star
Tukumbuke yaliyopita!
 
Kaka kuna English classes hapo Mombasa kwa ajili ya watu kama wewe, sasa maendeleo ya Tz yanaingilia wapi na hii taarifa. Nimesema mara nyingi Wabongo mnaotaka kujadili na Wakenya muwe mnahudhuria elimu jioni hadi mfikie level yetu, sio kukurupuka na majibu ya kiajabuajabu.

Hamna sehemu Tanzania imetajwa hapa.

Which issue do we need evening classes to discuss?

Vinginevyo nitakurushia lugha isiyofaa.
 
Back
Top Bottom