Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Kagame haibi anachukua mbona wazungu na wachina wanaiba na hatuwambii kitu?Kijamaa kinaiba kwa jirani, kinajenga kwake. Wenzie wanaeba kwao, wanajenga ugenini.....aibuu kubwa
Kwenye suala la maono tu, huyu jamaa apewe maua yake. Ila anavyo wafanya watesi wake, hana tofauti na hawa wengine tu.Huyu ana sifa na uwezo wa kuiongoza afrika mashariki yote kwa pamoja zikiwa zimeungana.
Mataifa mengine yanabarikiwa viongozi mahiri wenye maono, halafu yananyimwa rasilimali..
...sisi huku tumebarikiwa rasilimali halafu tukanyimwa viongozi wa maana, tukapewa viongozi vilaza na majizi yasiokuwa na maono wala uzalendo, yanachojua ni kufanya teuzi kwa kupachika familia zao ndani ya system hili kila mmoja aitafune nchi... ovyo sana
Kagame ndio kiongozi pekee wa kiafrika mwenye uwezo wa kuliongoza taifa kama Russia au Israel.Kwenye suala la maono tu, huyu jamaa apewe maua yake. Ila anavyo wafanya watesi wake, hana tofauti na hawa wengine tu.
Tatizo ni wakongo wenyewe hawajielewi Tshekedi kaka madarakani miaka kibao kashindwa kuunda jeshi yeye ni kula bata tu ufaransa huku akiendelea kuwanyanyasa wakongo wa eastSisi kama wa kongomani kutoka DRC tume sisitiza kwa viongozi wa dunia walio nauwezo wa kumaliza vita vya muda mrefu nchini kongo kwamba tumechoka, kila aina ya unyanyasaji tumevumilia lakini tumeshindwa! sasa tunaomba UN,USA,EU,AU wakusanye pesa wanunue nuclear warushie inchi hiyo sote tufariki na pengine tatakua tumepumzika. halafu mutapata raha zaidi kwani ni kwamba kongo tumechukiwa duniani pote.
Nyie wakongo mnateseka kwa ujinga wenu kazi kukata tu mauno wacha kagame aimege nchiSasa unapatia wakongomani wote waiza gani, mbona wameteseka
Mkuu you're your own enemy but, hivi inakuwaje nchi inaingia agreement but mtu kama waziri anasimama ktk public kutangaza tofauti na hizo agreement wanazo sign? Halafu muache ku worship wazungu hii ya kusema mfe ni wewee kuna watu wanatamani waishi milele in the same country. Nchi zetu za Africa ziache kutafuta mchawi nje ya nchi kwa sababu matatizo yetu yapo ndani zaidi kuliko nje.Sisi kama wa kongomani kutoka DRC tume sisitiza kwa viongozi wa dunia walio nauwezo wa kumaliza vita vya muda mrefu nchini kongo kwamba tumechoka, kila aina ya unyanyasaji tumevumilia lakini tumeshindwa! sasa tunaomba UN,USA,EU,AU wakusanye pesa wanunue nuclear warushie inchi hiyo sote tufariki na pengine tatakua tumepumzika. halafu mutapata raha zaidi kwani ni kwamba kongo tumechukiwa duniani
Hamieni kinshasa mkuu,, wakiona chaka lao la kula bata limevamiwa na wazilankende ndiyo watashtuka, tena mnalala hadi barazani kwa tshisekedi nalaabuk!Mpaka pale hamuja nipajibu sahihi, mimi sio kiongozi wa nchi lakini ni raia masikini wa kawaida, lakini nyote hakuna hata wa kunitia moyo, munajibu kama munajadili na tshisekedi mwenyewe! Mimi hata kumjua simjui namuona tu kwa ma taswira za mtandaoni pia nimezaliwa hapanorth kivu ishasha drc, sijui hata kinshasa naisikia kama wewe! Lakini cha ajabu tu ni kwamba sisi ndio tumeuziwa wakati wengine kinshasa wana faida zote za mali ya nchi. Samahani munielewe tu!
Ombeni msaada kwa kagame awakomboeMpaka pale hamuja nipajibu sahihi, mimi sio kiongozi wa nchi lakini ni raia masikini wa kawaida, lakini nyote hakuna hata wa kunitia moyo, munajibu kama munajadili na tshisekedi mwenyewe! Mimi hata kumjua simjui namuona tu kwa ma taswira za mtandaoni pia nimezaliwa hapanorth kivu ishasha drc, sijui hata kinshasa naisikia kama wewe! Lakini cha ajabu tu ni kwamba sisi ndio tumeuziwa wakati wengine kinshasa wana faida zote za mali ya nchi. Samahani munielewe tu!
Unaongea kimzaha kwenye issue kubwa, au siyo!Atusaidie silaha tujizatiti wenyewe D9, tutampa Ngara uwe mkoa wa Rwanda.
Umeongea mambo mawili tofauti yenye kufanana.Ombeni msaada kwa kagame awakomboe