Kagame: Tupo Tayari kumpiga Tshisekedi

Kagame: Tupo Tayari kumpiga Tshisekedi

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
14,747
Reaction score
24,250
20240621_141935.jpg

“We are ready to fight if necessary with the DR Congo, we are not afraid of anything….."

Anaendelea kusema
" Tshisekedi is using FDLR ideology against his own people , If you accuse other people of what you are guilty of, it is that something is wrong in your head"
 
Poor Africans! Badala ya kukaa vikao kujadili namna ya kuwahudumia wananchi wa mataifa yenu DUNI mnatambiana vita?

Hali ilivyo mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ni mbaya sana! Kuna watu wanateseka hapa duniani na serikali Yao Ina msaada dhaifu sana.
Kagame asijipe kiburi Cha kukimbilia vita. Ni kitu hatari kwa nchi duni za ukanda huu wa Maziwa makuu.

Rwanda bado Haina nguvu ya kuhimili vita rasmi na taifa jingine ingawa Wana silaha kiasi za kisasa.
 
Hako kapuuzi huwa kanajiona kenyewe kako juu ya kila kitu. Kisa tu kanatumiwa na Mabeberu kusababisha ukosefu wa amani huko Congo, ili raslimali ziporwe.
Kanapenda ukuu/power monger,ukisoma 'behind presidential curtains' Cha aliyekua moja ya walinzi wake,utaona kalivyo kajinga,kwanza kaoga halafu kazinifu
 
Yaani rwanda iipige dr congo, kagame yuko serious au anatania?
Vita siyo ukubwa wa nchi, vita ni intelejensia, kama jeshi la DRC wameshindwa kutokomeza waasi wa M23 ndo wataweza kumpiga Rwanda? Leo Israel yenye eneo kama mkoa wa Kilimanjaro inawajambisha mataifa ya kiarabu makubwa na yenye population kubwa. Vita ni mbinu, ubora wa jeshi na uzalendo, silaha, tumeona jeshi la Rwandan walivyoingia Mozambique waasi walinywea
 
View attachment 3022190
“We are ready to fight if necessary with the DR Congo, we are not afraid of anything….."

Anaendelea kusema
" Tshisekedi is using FDLR ideology against his own people , If you accuse other people of what you are guilty of, it is that something is wrong in your head"
Wananchi wa Africa wanataka amani, utawala bora na maendeleo....'Period'..
 
Back
Top Bottom