Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, population inahusiana nini na Ushindi Katika Vita?Hawezi Kongo Ina population ambayo ni five times ya Rwanda,ni ngumu sana
Kwamba haina nguvu? Jichanganye. Ukweli kuna mambo ya ajabu,na huko kutambiana vita kunaathiri raia wa kawaida si viongozi.Poor Africans! Badala ya kukaa vikao kujadili namna ya kuwahudumia wananchi wa mataifa yenu DUNI mnatambiana vita?
Hali ilivyo mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ni mbaya sana! Kuna watu wanateseka hapa duniani na serikali Yao Ina msaada dhaifu sana.
Kagame asijipe kiburi Cha kukimbilia vita. Ni kitu hatari kwa nchi duni za ukanda huu wa Maziwa makuu.
Rwanda bado Haina nguvu ya kuhimili vita rasmi na taifa jingine ingawa Wana silaha kiasi za kisasa.
Nyoko waasi gani wa Msumbiji walinywea mwezako yuko Msumbiji kulinda eneo wanalochimba mafuta mfaransa sio unalopoka lopoka tuVita siyo ukubwa wa nchi, vita ni intelejensia, kama jeshi la DRC wameshindwa kutokomeza waasi wa M23 ndo wataweza kumpiga Rwanda? Leo Israel yenye eneo kama mkoa wa Kilimanjaro inawajambisha mataifa ya kiarabu makubwa na yenye population kubwa. Vita ni mbinu, ubora wa jeshi na uzalendo, silaha, tumeona jeshi la Rwandan walivyoingia Mozambique waasi walinywea
Akithubutu tu atakuta watu wapo Kigali kitambo. Ngoja aendelee kujiaminisha kuwa ana Jeshi imara.View attachment 3022190
“We are ready to fight if necessary with the DR Congo, we are not afraid of anything….."
Anaendelea kusema
" Tshisekedi is using FDLR ideology against his own people , If you accuse other people of what you are guilty of, it is that something is wrong in your head"
Pia Rwanda nchi dogo sana ni kama mkoa wa MwanzaPoor Africans! Badala ya kukaa vikao kujadili namna ya kuwahudumia wananchi wa mataifa yenu DUNI mnatambiana vita?
Hali ilivyo mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ni mbaya sana! Kuna watu wanateseka hapa duniani na serikali Yao Ina msaada dhaifu sana.
Kagame asijipe kiburi Cha kukimbilia vita. Ni kitu hatari kwa nchi duni za ukanda huu wa Maziwa makuu.
Rwanda bado Haina nguvu ya kuhimili vita rasmi na taifa jingine ingawa Wana silaha kiasi za kisasa.
Rwanda hawezi, nchi dogo sana hiyo.Yaani rwanda iipige dr congo, kagame yuko serious au anatania?
Nijichanganye wapi? Au unakaririshwa stori za vijiweni?Kwamba haina nguvu? Jichanganye. Ukweli kuna mambo ya ajabu,na huko kutambiana vita kunaathiri raia wa kawaida si viongozi.
Udogo wa nchi kijografia siyo tatizo kivita ingawa pia number matters a lot in warfare!Rwanda hawezi, nchi dogo sana hiyo.
Walipigana wakitokea nchi gani?Museveni kamtoa Obote, rafiki wa Nyerere, huo msaada wa Tanzania kautoa wapi wakati miaka 80 nchi ilikuwa inapumulia machine.
Kagame alikuwa Chief Military Intelligence wa Museveni kuanzia msituni mpaka ndani ya serikali yake .
Huyu Kagame anaongea nini sasa?View attachment 3022190
“We are ready to fight if necessary with the DR Congo, we are not afraid of anything….."
Anaendelea kusema
" Tshisekedi is using FDLR ideology against his own people , If you accuse other people of what you are guilty of, it is that something is wrong in your head"
AiseeIsrael ana mabomu karibu 90 ya Nyuklia akiona vita inakuwa ngumu anatumia 1 Moja vita inaisha
lakini wa ukae DRC si iko na machafuko toka PK anajikojolea kwenye nepi. DRC inavurugwa na watu wake wenyewe.Hako kapuuzi huwa kanajiona kenyewe kako juu ya kila kitu. Kisa tu kanatumiwa na Mabeberu kusababisha ukosefu wa amani huko Congo, ili raslimali ziporwe.
Akigusa Congo tutamchakaza juu na chini ...AJARIBUHiyo hana-uwezo wakupigana na kambi ya monduli sembuse drc