Kenya hapo mbona ndio inaongoza kuuza Madini ya Tanzanite wakati yanapatikana Tanzania tu hapo vipi?Sidhani kama mimi au mwingine anaweza kukupinga kwa reply yako.
Ila mimi nakupinga kwa hiki hapa; Hao watusi waliopo Kongo wanatumika vibaya na PK, yaani majeshi ya M23 yanaiba mali wakijifanya Watusi na kupeleka Kigari.
How come Kigari iwe moja ya nchi wauzazi wa madini ghari ambayo hawana na hawana ubia na nchi yoyote wa kuchimba na kuyarudufu, achilia mbali kuuza?.