Waanzishe ili iweje? NATO wako busy na other wars sahizi. Huu ni ugomvi wa ndani. Si kila kitu beberuKufuatia mipango ya vita vya Urusi na washirika wa NATO, itakuwa mabeberu tayari wameshaanza kuwaambia mawakala wao wajiandae kulianzisha katika ukanda huu ili kuvuruga amani duniani kote.
Beberu,makampuni ya tech yamesaini mikataba na Rwanda kuwapatia madini muhimu kwenye bidhaa zao, madini yenyewe yapo DRCWaanzishe ili iweje? NATO wako busy na other wars sahizi. Huu ni ugomvi wa ndani. Si kila kitu beberu
Makampuni gani?Beberu,makampuni ya tech yamesaini mikataba na Rwanda kuwapatia madini muhimu kwenye bidhaa zao, madini yenyewe yapo DRC
"‘Blood minerals’: What are the hidden costs of the EU-Rwanda supply deal? | Human Rights | Al Jazeera" ‘Blood minerals’: What are the hidden costs of the EU-Rwanda supply deal?.Makampuni gani?
Kanapenda ukuu/power monger,ukisoma 'behind presidential curtains' Cha aliyekua moja ya walinzi wake,utaona kalivyo kajinga,kwanza kaoga halafu kazinifuHako kapuuzi huwa kanajiona kenyewe kako juu ya kila kitu. Kisa tu kanatumiwa na Mabeberu kusababisha ukosefu wa amani huko Congo, ili raslimali ziporwe.
Vita siyo ukubwa wa nchi, vita ni intelejensia, kama jeshi la DRC wameshindwa kutokomeza waasi wa M23 ndo wataweza kumpiga Rwanda? Leo Israel yenye eneo kama mkoa wa Kilimanjaro inawajambisha mataifa ya kiarabu makubwa na yenye population kubwa. Vita ni mbinu, ubora wa jeshi na uzalendo, silaha, tumeona jeshi la Rwandan walivyoingia Mozambique waasi walinyweaYaani rwanda iipige dr congo, kagame yuko serious au anatania?
Vita ni jambo lingine. Vita sio Ukubwa wa nchiYaani rwanda iipige dr congo, kagame yuko serious au anatania?
Wananchi wa Africa wanataka amani, utawala bora na maendeleo....'Period'..View attachment 3022190
“We are ready to fight if necessary with the DR Congo, we are not afraid of anything….."
Anaendelea kusema
" Tshisekedi is using FDLR ideology against his own people , If you accuse other people of what you are guilty of, it is that something is wrong in your head"