Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,072
- 2,384
Kwa kile anachofanya huko Goma kwa kutumia M23 Kagame anapaswa kupongezwa sana. Nchi nyingi zimemshindwa. Zimeshindwa kumdhibiti. Huyu jamaa ni kigezo cha kupima tunapotaka chagua Rais.
Unamwona anapoongea anapotembea ana akili. Unaona tu ana kitu. Tunapaswa kuzingatia hili tunapoenda chagua Rais 2025. Safari hii tuangalie Rais mwenye akili na ufaham wa haya mambo kwa kina.
Hujiulizi yeye anafadhili tu hao M23. Angalia majeshi yanayopigana naye ni kutoka nchi ngapi ukanda huu na hata SA? Na bado wanaenda wanamgwaya. Jamaa wala haongei sana. Anatembeza tu kipigo. Inashangaza sana. Hivi haiwezekani kumchagua akaja kuwa Rais wa Tanzania kwa hata miaka 5?
Anahitajika Rais wa namna yake kwa kweli ambaye hatoangalia maslah yake binafsi na watu wake. Bali nchi yote.