Kagame, very smart and powerful president here in East Africa

Kagame, very smart and powerful president here in East Africa

Kwa kile anachofanya huko Goma kwa kutumia M23 Kagame anapaswa kupongezwa sana. Nchi nyingi zimemshindwa. Zimeshindwa kumdhibiti. Huyu jamaa ni kigezo cha kupima tunapotaka chagua Rais.

Unamwona anapoongea anapotembea ana akili. Unaona tu ana kitu. Tunapaswa kuzingatia hili tunapoenda chagua Rais 2025. Safari hii tuangalie Rais mwenye akili na ufaham wa haya mambo kwa kina.

Hujiulizi yeye anafadhili tu hao M23. Angalia majeshi yanayopigana naye ni kutoka nchi ngapi ukanda huu na hata SA? Na bado wanaenda wanamgwaya. Jamaa wala haongei sana. Anatembeza tu kipigo. Inashangaza sana. Hivi haiwezekani kumchagua akaja kuwa Rais wa Tanzania kwa hata miaka 5?

Anahitajika Rais wa namna yake kwa kweli ambaye hatoangalia maslah yake binafsi na watu wake. Bali nchi yote.
Huyo ni kibaraka mtiifu wa US damu inamwagika kwa tamaa ya madaraka na afrika inaendelea kuwa maskini huku utajiri wake ukiendekea kutajirisha America.
 
Yaani kibaraka wa magharibi unamsifu. Ana haribu amani ya nje za wenziwe kwa maslahi ya mabeberu kwako ni mtu wa maana?
 
Muda utaamua, tuuachue muda. Muda utahukumu kwa haki hapo DRC.
 
Uyu jamaa hata silaha za jeshi lake ni hatari jamaa yuko seriouse sio kama wale wa Bus za Yutong zingine waka peleka kwa Chama
Overrated
Hana lolote
Anatumika na nchi za magharibi kuiba madini ya Congo
Rwanda is overrated as the so called Israel
 
Kuna dereva mmoja wa rwanda alikua ananiambia akija Tanzania huwa anapata faraja sana
yuko huru kuongelea siasa na uhuru wa kufanya mambo mengi ambayo rwanda hawezi yafanya
Huyo anajisemea tu, ajaribu kuiunga mkono Chadema aone ndio atajua nchi ya Afrika ni Afrika tu na waafrika walizaliwa na mama moja..
 
Back
Top Bottom