Kagame, very smart and powerful president here in East Africa

ALIKUWEPO MKAMUUA
 
Huyo Kagame hapo anatumika tu na wakubwa, siku wakimchoka watatupa kule mbali
Wala hakuna wakubwa wanaomtumia Kagame, hivyo ni visingizio tu vya waafrika kwani wao kila tatizo lao lazima atafutwe mchawi na ndio maana bara la Afrika limebaki kichekesho duniani.

Bara kama la Asia miaka ya nyuma baada ya kugundua walipokuwa wanakosea walikubali kufanya masahihisho na leo sio wenzetu tena.

Sasa ili Afrika ije ifikie hatua hiyo ya Asia, itabidi watu wenye fikra za kijinga kama nyie kizazi chenu kwanza kitoweke na kije kile chenye kuweza kukaa na kubadili ile mindset yao basi ndipo Afrika itaanza safari ya maendeleo.
 
Huyu ni mmoja wa Viongozi wabaya kabisa kutokea katika bara la Afrika.
Huyu ni jambazi,gaidi,mwizi,mkabila, mpenda madaraka, dictator, fascist na muuaji.
Hana tofauti na akina Bokassa,Botha,Mobutu,Iddi na Boko Haram.
 
kagame anajiweza achokoze TANZANIA aone atakavyochapika
Usijidanganye, elewa kwamba hii TPDF ya sasa sio ile iliyopigana vita na Idi Amin wala iliyokuwa ikishiriki katika zile vuguvugu za ukombozi kusini mwa Afrika.

Baada ya kurejeshwa kwa mfumo wa vyama vingi vya kisiasa hili jeshi limekuwa politicized sana na kuifanya iathirike sana in terms of patriotism, skills and on the levels of professionalism which definitely means a clear victory in a battle with any dedicated opponent can surely hang in balance.
 
sawa mwenye akili
 
Hakuna jambo lolote lisilo na ukomo. Mwisho wake utafika tu na yeye.
 
Rwanda Iko overrated ni kaeneo kadogo tu, Si alipishana Na Mkwere uyo Ikaja mpaka Operation Kibunga 2014 mbona Hakuna Kitu alijaribu kufanya
 
Ushahidi wa kipi?!..1994 palikua na watutsi laki nane tu Rwanda,watu waliouawa milioni na zaidi,watusi bado wapo Rwanda,maana yake hawakuuawa wote,so wengi waliouawa ni wahutu
Ninekuuliza source ya madai yako.acha kubwabwaja.
 
we kwl ni banyamulenge, huna ht haya
 
Kuna dereva mmoja wa rwanda alikua ananiambia akija Tanzania huwa anapata faraja sana
yuko huru kuongelea siasa na uhuru wa kufanya mambo mengi ambayo rwanda hawezi yafanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…