inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Rwandan President Kagame 'sparked 1994 genocide'Ushahidi wa Ndege ya Habyarimana kutunguliwa na Kagame halafu unahamia kwenye sensa ya Wanyarwanda nana kakwama?
MnoooRWanda is overrated
Huyo ni kibaraka mtiifu wa US damu inamwagika kwa tamaa ya madaraka na afrika inaendelea kuwa maskini huku utajiri wake ukiendekea kutajirisha America.Kwa kile anachofanya huko Goma kwa kutumia M23 Kagame anapaswa kupongezwa sana. Nchi nyingi zimemshindwa. Zimeshindwa kumdhibiti. Huyu jamaa ni kigezo cha kupima tunapotaka chagua Rais.
Unamwona anapoongea anapotembea ana akili. Unaona tu ana kitu. Tunapaswa kuzingatia hili tunapoenda chagua Rais 2025. Safari hii tuangalie Rais mwenye akili na ufaham wa haya mambo kwa kina.
Hujiulizi yeye anafadhili tu hao M23. Angalia majeshi yanayopigana naye ni kutoka nchi ngapi ukanda huu na hata SA? Na bado wanaenda wanamgwaya. Jamaa wala haongei sana. Anatembeza tu kipigo. Inashangaza sana. Hivi haiwezekani kumchagua akaja kuwa Rais wa Tanzania kwa hata miaka 5?
Anahitajika Rais wa namna yake kwa kweli ambaye hatoangalia maslah yake binafsi na watu wake. Bali nchi yote.
Genius kwa kuivamia Drc?Kagame ni genius.
OverratedUyu jamaa hata silaha za jeshi lake ni hatari jamaa yuko seriouse sio kama wale wa Bus za Yutong zingine waka peleka kwa Chama
Huyo anajisemea tu, ajaribu kuiunga mkono Chadema aone ndio atajua nchi ya Afrika ni Afrika tu na waafrika walizaliwa na mama moja..Kuna dereva mmoja wa rwanda alikua ananiambia akija Tanzania huwa anapata faraja sana
yuko huru kuongelea siasa na uhuru wa kufanya mambo mengi ambayo rwanda hawezi yafanya