Kagasheki awaasa kiaina Watanzania kuhusu kauli ya ukomo wa Urais kwa kutumia mfano Paul Kagame 2012

M-mbabe

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2009
Posts
13,203
Reaction score
23,027
Ni ujumbe unaoonekana wa kawaida kabisa kutoka kwa Dr Kagasheki. But timing yake inaufanya ujumbe huu ubebe uzito mkubwa na wa kipekee.

Ni ujumbe kwa Watanzania kuwa tusiamini kila kitu kitokacho vinywani mwa wanasiasa.

"Tafakarini kwa makini Watanzania" that seems to be the bold message from this distinguished doplomat.

Rais wa Kizalendo wa Jamhuri ya Muungano wa Puetorica atapumzika 2025

Msuko suko wa ndani ya Chama cha PNP kutoka kwa Wazee wa Chama ni Mkubwa sana kiasi kwamba kutuliza hali ya hewa imebidi atolee ufafanuzi kutuliza hali

Raia wa Nchi hiyo wanapaswa kuamini asemacho Rais wao
 
Nilishawahi Kuambia, huu ufalme umeumiza watu wengi sana...kuanzia walosingiziwa wauzaji wa madawa , watu kutekwa, kuuliwa n.k

Haya yote yanawafanya wanaomzunguka jamaa wakoswe namna ya kufanya, nandio maana kila mtego wanaomtegemea nayeye ananasika kirahisi, anaingia mzimazima, mwisho nayeye anahesabiwa kama wao

Sasa nini wafanye ?????..

1---Kuendelea kulazimisha nakutafuta namna ambayo jamaa aendelee kua madarakani .

2---anayekuja awe pia nimtu walompika wao kisawasawa kiasi kwamba ataendelea kuwapigania...MF...MTU km H.Mwinyi

Nahii inafanya UGUMU MKUBWA KWA UPINZANI KUCHUKUA NCHI HII KWA KURA ZA MAKARATASI ..

Siunaona kuanzia majeshi na vyombo vyote jamaa kavi compromise?
 
Madikteta wote ninaowafahamu... Kwa kusoma au kwa kuwashuhudia moja kwa moja....
Mara zote hawakubali moja kwa moja kuwa watang'ang'ania madaraka...
Ila mienendo ya wapambe wao na maneno ya vinywa vyao ni ishara mojawapo kuwa nia yao ni thabiti...
Enyi ndugu wenye macho na akili...
Hamjashuhudia dalili zozote hadi sasa??
 
Nilishawahi Kuambia, huu ufalme umeumiza watu wengi sana...kuanzia walosingiziwa wauzaji wa madawa , watu kutekwa, kuuliwa n.k

Haya yote yanawafanya wanaomzunguka jamaa wakoswe namna ya kufanya, nandio maana kila mtego wanaomtegemea nayeye ananasika kirahisi, anaingia mzimazima, mwisho nayeye anahesabiwa kama wao

Sasa nini wafanye ?????..

1---Kuendelea kulazimisha nakutafuta namna ambayo jamaa aendelee kua madarakani .

2---anayekuja awe pia nimtu walompika wao kisawasawa kiasi kwamba ataendelea kuwapigania...MF...MTU km H.Mwinyi

Nahii inafanya UGUMU MKUBWA KWA UPINZANI KUCHUKUA NCHI HII KWA KURA ZA MAKARATASI ..

Siunaona kuanzia majeshi na vyombo vyote jamaa kavi compromise?
Ila huu uzi wako nahao akina kagashekii wako inaonekana ulikuwa fisadi sana! Kwahiyo hapa unapumulia matakoni kuitafta 2025, sasa mzee baada ya magufuri anakuja kabudi, nazanzibar wakati huo atakuwa mwinyi huseni. Safari hii mtaisha tu
 
Kagasheki nae atulie wametuibia sana kipindi chao, wakiendelea fyoko fyoko tutayafukua makaburi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi huyu kagasheki anadhani ya kwake hatuyajui? Muda woote mtandaoni! Yeye na Zito ni sawa japo kavaa koti la kijani! Hawa ndo mafisadi wa underground enzi kwa enzi wamejaa udini, unyonyaji na watetezi wa mabeberu
 
Ila huu uzi wako nahao akina kagashekii wako inaonekana ulikuwa fisadi sana! Kwahiyo hapa unapumulia matakoni kuitafta 2025, sasa mzee baada ya magufuri anakuja kabudi, nazanzibar wakati huo atakuwa mwinyi huseni. Safari hii mtaisha tu
Kwakweli Kabudi anafaa kuvaa viatu vya JPM!
 
We ni mwanaume kweli kweli?

Mwanaume gani unaogopa beberu?

Siye twamtengeneza supu, na wewe bwege wamuogopa eeh!

Back
Top Bottom